Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mku Mshana tujuze namna kuondokana haya madhila.Asante Mku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]subiri ijumaa
Walikutengeneza pole sanaaMku Mshana ni namna gani watu watajinasua ktk haya.
Mimi niliwahi kutuma picha home nikiwa nje ya Nchi na zile ziliombwa na ndugu wa ukoo na zile picha hazikurudi wa hazijawahi kunekana.
Na baada ya kurudi hapa nyumbani Tanzania na sikurudi kwa kutaka mimi ila nilipata shida kubwa.
Kwa ujumla nimekutana mengi sana Mtani ambayo ni magumu sana
Asante sana MtaniWalikutengeneza pole sanaa
Kwa njia gani MkuHebu tuwasiliane
Pitia hii kwanzaMshana JR, nafikiri siku tukipata muda tuanze na somo la kwanza la kuchukua nafsi ya mtu kwa kutumia kivuli chake!!
Mm namna pm sijui sio mwelewa kwani ukweli utaniweka huruHata PM sio mbaya
Hapa kishadanganywa mtu, kishapigwa hela, hapo kilichoandikwa ni roughly tu! Yaani tuseme kama umempatia kalamu mtoto wa chekechea!Mshana Jr hii inamaana ganView attachment 1772871
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dadadekiVp mkuu Mshana Jr hili zoezi hatuwezi tukakazika kale kapimbi kanajiita ndugai pale mjengoni?
Vinahitajika Nini na nini nikavilete chap tukasafirishe kakaungane na shujaa mwenzake jehanamu?
Asante MkuNakupm
Nitumie na mimiMshana Jr kuna kundi la Wakushi nakutumia link ujiunge, una mengi ya kuwasaidia naona wako shallow sana
Mku Mshana ni namna gani watu watajinasua ktk haya.