Musachawenyu
Member
- Aug 6, 2020
- 84
- 109
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.
Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.
Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.
Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa