Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

Wakienda huko mahakani watamshitaki Maria kwa makosa yapi?
 
Ukweli, Prof. alikwishapanga mapema wapi pa kuzikwa, maana ghafla bin vuu si rahisi mtu kuzikwa makaburi ya Kinondoni.
sijaelewa, kwani wenye maammuzi ya mwisho ya mtu kuzikwa, ni serikali ama ni familia/ukoo?
 
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.

Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.

Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.

Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.

Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Huyo Maria Sarungi si yupo tu hapo Nairobi Unadhani Serikali kama inamtaka inashindwa kumkamata, sidhani kama wana issue naye yoyote Maria au Mange wakija nchini wanaweza kweli wakapata misuko suko lakini si kwamba wakiwataka wanashindwa kuwapata kwasababuu hawana ulizi wowote wa Maana. Malia ni mkosoaji mkubwa wa serikali akitumia mitandao ya kijamii na club house ,hilo aliwezi likawa kosa la kumkamata hadharani kwasababu Hata Mange kunawakati fulani walisalimiaana na Raisi huko marekani na wala usalama hawakumzuia. Maana yangu ni kuwa Maria hawawezi wakamkamata hivi machoni kwa watu kwasababu hawatakuwa na kesi yoyote ya kumshitaki zaidi ya kumuweka kizuizini na kumpa kesi ya uchochezi.
 
Kakimbia kutafuta kiki
Anaogopa kivuli chake tu.

Rent ya nyumba Kenya analipa kwa biashara gani? Kutwa yupo mitandaoni,

Afdhali ata Lissu na Kabendera; UK na Belgium kuna nyonyo.

Yaani Lissu asiogope iwe, Maria; tena kuja kuzika tu. Media zote macho yatakuwa kwakwe serikali ijaribu attempt za kijinga zidi yake.

Hana hata kesi inayomsubiri mahakamani serikali iliyofungua zidi yake kusema akifika Tanzania kuna warranty of arrest inayomsubiri.

Akili zake zinamtosha mwenyewe, anakimbia kivuli chake kwa madhambi yake anayoyajua mwenyewe.

Samia hana damu ya kudhuru, pamoja na mapungufu yake.
 
sijaelewa, kwani wenye maammuzi ya mwisho ya mtu kuzikwa, ni serikali ama ni familia/ukoo?
Wakiitwa kutoa ushahidi upuuzi huu wakiandika kwenye magazeti yao au kwenye YouTube channel zao; utasikia serikali inaonea waandishi.

JF kila mtu anaweza jiandikia upuuzi wake, yaani serikali iwapangie familia pa kuzika. Viongozi wenyewe waliopo wamekataa makaburi ya serikali waliyotenga Dodoma.

Leo walazimishe mtu kuzikwa Kinondoni; ujinga mtupu.
 
hayo sawa, lakini je, ni kweli mnataka kumkamata Maria?
 
Kwa lipi hasa?

Ni kipi kipya ambacho Mwabukusi alikuwa aongei kwenye sakata la bandari ambalo Maria akuongea.

Ni kipi ambacho yule chawa wa Boni Yai kila siku anaongea kuhusu utekajl na anapeta mtaani.

Hakuna mtu anashida na Maria; ukivuka mipaka ya uongo utaitwa uthibitishe tu na kuwekwa Lupango kama huna ushahidi.

Uwezi tunga uongo raisi alikuwa anapanga mipango ya kuonga watu mbele ya kadamnasi ya walinzi wake kama Dr Slaa. Halafu ukiitwa kuthibitisha uongo wako na kuishia Lupango uanze kulalama.

Lakini hakuna jipya katika hoja za Maria ambazo wanaharakati wa ndani awaongei.

Ni uoga wake tu na sinema yake ya kujiteka.

Halafu usiniweke kwenye kundi la MaCCM n mafisadi tafadhali (ambalo wewe umo), binafsi sikubali ujinga tu wa Maria.
 
uuseme ujinga wa Mary Sarungi
 
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.

Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.

Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.

Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.

Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Chanzo Cha taarifa mkuu?!
 
Anaogopa kivuli chake tu.

Rent ya nyumba Kenya analipa kwa biashara gani? Kutwa yupo mitandaoni,

Afdhali ata Lissu na Kabendera; UK na Belgium kuna nyonyo.

Yaani Lissu asiogope iwe, Maria; tena kuja kuzika tu. Media zote macho yatakuwa kwakwe serikali ijaribu attempt za kijinga zidi yake.

Hana hata kesi inayomsubiri mahakamani serikali iliyofungua zidi yake kusema akifika Tanzania kuna warranty of arrest inayomsubiri.

Akili zake zinamtosha mwenyewe, anakimbia kivuli chake kwa madhambi yake anayoyajua mwenyewe.

Samia hana damu ya kudhuru, pamoja na mapungufu yake.
Mkuu pana watu hawawazi kulipa rent wakiwa Nchi yeyote na wengine wananunua nyumba kabisaa wakimaliza kazi zao wanauza.
 
Inawezekana.

Ila sasa, ku justify position yako; inabidi utueleze Maria alikuwa na nyumba eneo A Tanzania.

Au walikuwa na biashara A.

Wameuza nyumba A na biashara A, wakawa na mtaji wa kupangisha nyumba Kenya na kuanzisha biashara; ya kumudu maisha,

Vinginevyo it’s not rocket, science Maria ni compromised individual anaekimbia kivuli chake tu.

As far as serikali ya Tanzania is concerned Maria ni kichefu-chefu ila sio tishio.

Yaani atukane kipindi cha Magufuli akiwa Tanzania akimbie kipindi cha Samia.

Amekimbia kwa sababu anajua madhambi yake halisi yapo serikalini; traitor anaweza kuwa mtu yeyote mwenye tamaa ya hela.

Don’t be fooled,
 
Daah mkuu sipo kwa Maria hoja yangu ni kuwa kuwa na nyumba nje huko sio Big deal kama unavyodhania ila kama unaendelea kushupaza Ubongo amini unachokiamini ila watu wengi wanachukua rent ya nyumba Nje ya Nchi tena wengi tu..
 
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.

Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.

Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.

Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.

Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Hkuna kitu kama hicho. Wakitaka kumkamata ni chapu tu. Hapo alipo si juzi tu walimdaka wakamwachia.
 
Back
Top Bottom