Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.

Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.

Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.

Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.

Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Yaani we ni mpumbavu mpk chenji inabaki, mkoa wa Mara hakuna serikali? Serikali ikimtaka ht hapo Kenya inaenda kumwokota km nyau.
 
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.

Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.

Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.

Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.

Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Eti wanaume wa Tarime na Rorya, umelewa nini?
 
Uko serious kweli kwamba serikali haiwezi kumkamata mtu mpaka wamvizie msibani Dar!?
 
Hufai kuwa kwenye jamvi hili la great thinkers...yaani unataka kutuaminisha kuwa RORYA ipo kenya?yaani mtenda mabaya akiwa RORYA hakamatiki??
dunderhead
 
Mungu mlinde Dada Maria Sarungi, mlinde na Majinamizi ya CCM.
 
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.

Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.

Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.

Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.

Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa

Hana madhara kwa serikali, do you think wakimtaka hawampati? Si yupo kenya tu hapo
 
20250303_230244.jpg
 
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.

Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.

Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Wewe MUONGO mkubwa. Hujui chochote kuhusu masuala ya hiyo familia juu ya mazishi ya Prof Sarungi. Hata hujui ni nani aliamua mazishi yafanyike Kinondoni. Unaleta porojo za kijinga tu hapa.
Halafu kudhani kuwa serikali imeshindwa kumkamata Maria 'aliyejificha' Nairobi ni ujinga wa aina nyingine!
 
Back
Top Bottom