DJ Mbowe yuko wapi wewe bibi?CCM ni chama cha kishamba sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DJ Mbowe yuko wapi wewe bibi?CCM ni chama cha kishamba sana!
Maziko yanahusu maamuzi ya familia zaidi. Serikali inatakiwa kuwezesha tu.Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.
Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.
Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.
Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Wewe Kapuku leo umewekewa bando na Tulia au Makalla?DJ Mbowe yuko wapi wewe bibi?
Nimewekewa na DJ MboweWewe Kapuku leo umewekewa bando na Tulia au Makalla?
Anasema eti serikali inawaogopa watu wa Rorya🤣Kwani Rorya serikali haipo?
Ina maana Mura wote wa Dar ni tepetepeHivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.
Wanaume Kama mabintiHii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi kumtia nguvuni Maria akija msibani kuliko kufanya hivyo kama akizikwa Rorya maana wanaume wa Tarime na Rorya wana uwezo wa kumlinda dhidi ya Polisi wanaopokea maelekezo ya CCM.
Na kwa kuwa Maria alipewa taarifa na wasamaria wema akaamua kutokuja.
Hii ni ajabu na aibu kulazimisha maziko ya Prof. Sarungi Dar kwa ajili ya kumkamata binti yake.
Huyu Mama atahangaika ila hakika mwaka huu hatoboi. Amelaaniwa
Umeongea point kubwa, kuna watu wanaingilia familia za watuSIJUI BWANA, MAMBO YENU, ILA NAAMINI ANGEZIKWA POPOTE TANZANIA KAMA WANA NIA YA KUKUMKAMATA WASINGESHINDWA, SABABU ANAZIKIWA MTWARA.
.LABDA ANGEZIKWA NJE YA NCHI.
Akamatwe kwa kesi yake ipi inayoendelea ?Angefikaje Rorya kutoka nje ya nchi mkuu si watamkamatia Airport au border! Au ataruka kama ALADINI mpaka Rorya
Kwani kuna sehemu serikali imesema inamtafuta?Inasemekana anaipiga spana serikali kitu ambacho Kenya wala sio jambo la maana, wanapigwa spana viongozi na viongozi wanazitumbua spana dadeki
Maria anakimbia kivuli chake tu.Umeishia darasa la ngapi hadi uandike utopolo huu.
Maria anathreat zipi kwa serikali hadi iwe na interest ya kumkamata