Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

Aisee
 
Daah mkuu sipo kwa Maria hoja yangu ni kuwa kuwa na nyumba nje huko sio Big deal kama unavyodhania ila kama unaendelea kushupaza Ubongo amini unachokiamini ila watu wengi wanachukua rent ya nyumba Nje ya Nchi tena wengi tu..
Nimekueleza sema abc, tuelewe namna anavyo-fund maisha yake Kenya.

Huna majibu ya hoja, unaniletea story za jumla.

This is how you defend, your position? Bila ya justifiable evidence.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu na upuuzi.Maria Sarungi ni nani na ana kitu gani cha kuihangaisha serikali.Mnajua mnataka kutengeneza tu story ambazo hazina mantiki.Hata huko Rorya ni Tanzania na msijifanye mko tofauti sana na Watanzania wengine.kama ni kumkamata hata huko anakamatwa.Huyo mtoto ameshindwa tu kumzika Baba yake,nadhani labda kuna jingine limejificha ndani ya familia hatulijui.Amelaaniwa aliyeshindwa kumzika Baba yake.
 
Akamatwe kwa kesi yake ipi inayoendelea ?
Nilitaka tu kumwambia mtoa mada hoja yake haina mashiko kwamba ni rahisi kumkamata Dar kuliko Rorya.

Hata hivyo kukamatwa ni mpaka uwe na kesi inayoendelea? Vipi inayotaka kuanzishwa?
 
hayo ni maoni yako na hilo la utotoboa haliwezekani maana wewe siyo uliye muumba
 
Toa ujinga kichwani mwako...yaani marehem aseme nizikwe DSM nasio Musoma alafu serikali iseme hapana. Tumia akili aisee
 
Mola alipotupa hii Tz ilikuwa kwa ajili ya wote na sio kwa ajili ya wachache.
Tusiwanyime wengine haki yao ya kuishi Tz kwani ipo siku nanyi mtaiacha Tz.
Muogopeni sana Mola na kumbukeni kuna maisha baada ya haya ya dunia hii.
 
Wanajamvi Heshima kwenu,

Kwako Mh Dr Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa.

Nakuandikia kwa heshima na taadhima kuhusu kauli tata, aliyoitoa waziri Mkuu Majaliwa huko Tabora, kuwataka vijana wasomi wa vyuo vikuu kujiunga na vyuo vya VETA Kusomea ufundi wa fani mbalimbali.

Kwa upeo wangu wa kutafakari mambo naona Waziri Mkuu amevuka mstari,kwa kauli aliyoitoa.
Ni kauli

Mosi ya kudharau kada mbalimbali zilizosomewa na vijana chuo KIKUU mpaka kuwataka waziache.

Kada kama uhasibu, uhandisi ,Udaktari, Ujiolojia,ualimu, Procurement kuzitaja chache.

Watu hao juu wametumia muda mwingi,pesa kusoma kidato Cha kwanza mpaka Cha sita, Kisha miaka mitatu mpka minne chuo KIKUU.

Hili ni group kubwa la wanazuoni ambao wapo mtaani hawana ajira,walipokuwa wanasoma walikuwa na malengo yao,

Walijua kabisa VETA zipo, ukweli kuhusu VETA ni kada ya kati ya kawaida iliyokuwa na malengo ya kutoa skills study kwa ajili ya kujiajiri, kwa namna ya pekee watu ambao waliishia darasa la saba zamani, lakini sasa kidato Cha nne, ambao hawakuweza kuendelea na masomo ya juu ili wajiajiri.

Mh Rais mashaka yangu ni kuwa Kuna ombwe kubwa la ajira nchini, safari hii wapiga kura wengi nchini ni vijana, ambao hawana ajira.

Kwa Nini kauli kama hii inatoka kuelekea uchaguzi mkuu?? sio nzuri, itachochea chuki kwa vijana wasio na ajira ambao Bado wana matumaini na serikali Yako.

Kwa namna ilivyo vijana hao wamekuwa underrated, hadhi ya degree za vyuo vikuu ni bure, haina maana, mpaka leo hii vijana hao washauriwe kusomea ufundi🤔🤔🤔

Mwisho Mwishoni natamani Waziri Mkuu ajitafakari, na Mama kama mkuu wa nchi utafakari hii kauli tata, ambayo kwangu mimi kama mtanzania inatosha kwa Waziri Mkuu kukaaa pembeni baada ya Bunge kuvunjwa.

Ni imani yangu ujumbe huu utafika mezani kwako, kwa wewe mwenyewe kusoma, au kupitia wasaidizi wako.

Nandagala One -Mpumalanga
 

  • Hii ni chai

Mkuu ukitaka kuamini kuwa watu ni "wajinga mno" soma hizo comments, naamini hata mleta mada mwenyewe anacheka sana namna alivyoweza kupima akili za members humu!!!

Kwamba dar vs rorya kisa kule Kuna wanaume wanaoweza kuwazuia polisi??!
 
Sababu uliotoa mleta mada ya mazishi kuwa Dar Haina msingi.
Wala sidhani kabisa kama serikali imeingilia jambo hili.
Oriti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…