Kuna watu leo ya 3 hawajaenda kazini, kisa msibaHizo ni taratibu zao binafsi , wanazipenda hivyo hivyo wanazifanya hivyo hivyo ,usiwapangie cha kufanya.
Mbona Mtume hakuzikwa haraka?Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi tukahudumie jamii
Wewe inakuhusu nini yeye kutokwenda kazini?Kuna watu leo ya 3 hawajaenda kazini, kisa msiba
Hawakuomba kibali kuwa wana msiba wamefiwa?Kuna watu leo ya 3 hawajaenda kazini, kisa msiba
Mwinyi nae alizikwa baada ya siku 3. Muongo huyuMbona Mtume hakuzikwa haraka?
1999s-early 2000s hazikuwepo hizi taratibuHizo ni taratibu zao binafsi , wanazipenda hivyo hivyo wanazifanya hivyo hivyo ,usiwapangie cha kufanya.
Mwinyi kufia dar kuzikwa zenji isingewezekana siku hivyohivyo,mtei ana wiki sasaMwinyi nae alizikwa baada ya siku 3. Muongo huyu
Alizikwa baada ya muda gani?Mbona Mtume hakuzikwa haraka?
Abu Lahab (PBUH)
Pengine swala la uchunguzi.Sio kwa waislamu wote wanazika mapema, mwinyi ni muislam alikufa February 29 akazikwa baada ya siku tatu March 02
Hesabu mwenyewe amekufa j3 akazikwa usiku wa manane kuamkia j5.Alizikwa baada ya muda gani?
Kuna watu madaktari wa umma hapo, wapo msibani ya 3Walikuja huko msikitini kuomba kuchangiwa hizo gharama?
Msheikh pia huvaa makoti ya suit muda mwingi. Wao joto haliwahusu?1990
1999s-early 2000s hazikuwepo hizi taratibu
Ila siku hizi misiba ya kikristo kuna hadi muziki na pombe,wao hufuata tu ulaya wafanyavyo
Ulaya waenda na suti kanisani,kule baridi,unaona dar wanyakyusa wakitoka kanisani saa nane unusu na suti zito kweli kweli tena November
Akili wameweka pembeni kabisa,siyo ukristo bali uzungu