- Thread starter
- #41
Kwani haramu?Masheikh hawavai makoti ya suti msikitini? Hawa masheikh hapa wapo bar?
View attachment 3533359
View attachment 3533360
Kwani haramu?Masheikh hawavai makoti ya suti msikitini? Hawa masheikh hapa wapo bar?
View attachment 3533359
View attachment 3533360
Ni siku ngapi?February 29 mpaka march 2 hazifiki siku tatu
Hapo ukute Dodoma, Dodoma baridiMasheikh hawavai makoti ya suti msikitini? Hawa masheikh hapa wapo bar?
View attachment 3533359
View attachment 3533360
Mimi sijasema Haram, nimemjibu gallow burd aliyesema masheikh hawavai makoti ya suti msikitini.Kwani haramu?
Sasa pombe Ina shida Gani iwe kwenye msiba au siyo kwenye msiba?Pombe kwenye msiba?
Sidhani kama mwinyi alikufa alfajiri,na February haina siku 30,so hazifiki siku tatuNi siku ngapi?
Kwani kwenye uislam inatakiwa myu azikwe baada ya muda gani?
Pombe na muziki vina shida Gani wewe mtoto wa kike mbaguzi?Yaani usipime,wake kwa waume,na muziki juu
Kwa hiyo wanawake wa kiislam wanaovaa hijab, majuba na wale wa kininja kwa mazingira ya dar wanakosea? Maana dar joto lakini wanajifunika gubigubiHapo ukute Dodoma, Dodoma baridi
Kuna sehemu nimesema pombe ina shida? Unaweza kuonysha sehemu niliyosema kua pombe ina shida?Sasa pombe Ina shida Gani iwe kwenye msiba au siyo kwenye msiba?
Hata kuoa pia. Waislamu ni chap chap, njoo kwa wakristo wenzangu sasa.....Kwa hili niko pamoja na nyie ndugu zangu kobasi, Wagalatia wa bongo wana mambo mengi na wanazingua sana panapo misiba😁
Unywe pombe,upige muziki msibani halafu udai unaomboleza una machungu!?Pombe na muziki vina shida Gani wewe mtoto wa kike mbaguzi?
Tofauti wale ni amri ya dini,sasa Hawa ni kwa kuwa wazungu ndiyo huvaa hivyo,hawaamrishwi na yeyote, wakati yesu alikua akivaa kanzu na kobazi na akina maria Magdalena na bikira maria wakivaa hijabKwa hiyo wanawake wa kiislam wanaovaa hijab, majuba na wale wa kininja kwa mazingira ya dar wanakosea? Maana dar joto lakini wanajifunika gubigubi
Huu upuuzi ndiyo alikataa Mzee Mwinyi hadi akapewa jina la Mzee Ruksa, wewe amini unachoamini na mwingine aamini anachoamini kwani wote mumepokea tu hizo dini toka Mashariki ya Kati na kwa sisi wengine tunawaona mumelishwa matango pori hivyo huna haki ya kuhukumu dini ya mwingine vinginevyo huo ni uchochezi.Nawapa mawaidha wakiristo wa jf, wachague imani sahihi moja kwa moja hadi peponi
Tarehe 29, tarehe 1, tarehe 2. Hizo ni siku ngapi?Sidhani kama mwinyi alikufa alfajiri,na February haina siku 30,so hazifiki siku tatu
Kuzika ni haraka iwezekanavyo japo mimi si mfuasi wa hilo maana halipo kwenye Quran
Ila mtu akifa azikwe chapu, habari za kuomboleza wiki nzima ni udwanzi
Mroho mkubwa wewe unakula nguruwe na kushushia kwa K VantMlanguruwe kwa siri? Muislam anatakiwa amuogope Allah sio binadam mwenziwe. Sasa kwa siri Allah hanioni?
Siku ina saa 24, mwinyi hakufa alfajiri 29/2 na hakuzikwa 3/2 so mathematically ni 48 hrs,alifia dar akazikwa zenjiTarehe 29, tarehe 1, tarehe 2. Hizo ni siku ngapi?
Waislam Wana vitabu kila dhehebu wanaita hadithi za mtume, kwenye Hadith za mtume ndiyo imesisitizwa kuzika harakaKama halipo kwenye Quran nhie mnafanya hivyo kwa kufuata wapi? Mnatumbaiaga wenyewe kuwa mnafata miongozo ya Quran, hili la kuzika mapema mbona mlilitoa wapi ikiwa Quran haisemi hivyo?
Wanafanya kwa mapenzi yao wewe ni kiherehere chako tu kuwafatilia watu kwenye matumizi yao1990
1999s-early 2000s hazikuwepo hizi taratibu
Ila siku hizi misiba ya kikristo kuna hadi muziki na pombe,wao hufuata tu ulaya wafanyavyo
Ulaya waenda na suti kanisani,kule baridi,unaona dar wanyakyusa wakitoka kanisani saa nane unusu na suti zito kweli kweli tena November
Akili wameweka pembeni kabisa,siyo ukristo bali uzungu
Kwa hiyo sasa tunakubaliana issue sio joto bali ni anri ya dini? Si ndio? Wachungaji wao amri ya dini hawana. He nyie mnayofanya yote yana amri ya dini?Tofauti wale ni amri ya dini,sasa Hawa ni kwa kuwa wazungu ndiyo huvaa hivyo,hawaamrishwi na yeyote, wakati yesu alikua akivaa kanzu na kobazi na akina maria Magdalena na bikira maria wakivaa hijab
Ni kweli usemachi,ila ni kweli pia nisemachoWanafanya kwa mapenzi yao wewe ni kiherehere chako tu kuwafatilia watu kwenye matumizi yao