Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi tukahudumie jamii
Bakwata mna chokochoko sana sasa mazishi ya Wakristo yanakuhusu nini wewe mla nguruwe kwa kujificha?
 
Labda fundi hajakamilisha kushona sare za msiba au bado wafiwa hawajampata mshereheshaji wa msiba.
Mtu akishakufa ni amekufa.

Umzike Leo Leo,umzike baada ya wiki au hata mwaka haiondoi ukweli kuwa ameshaaga Dunia.

Kinachotokea kwa wakristo wanaochelewesha kuzika ni kuupa tu msiba tafisiri ya "ulikuwa pamoja nasi na sasa umeondoka,tunasherekea maisha yako(Heshima)".

Mimi nadhani hili halihitaji kukosoa Wala kusifia,ni swala la mtu au familia na uwezo wao. Maana wapo wakristo wasio na uwezo wanazika tu kama waislamu hakuna mbwembwe zozote.
 
Mi sioni koti la suit msikitini
Masheikh hawavai makoti ya suti msikitini? Hawa masheikh hapa wapo bar?
Screenshot_20260123-155136_1.jpg


Screenshot_20260123-155127_1.jpg
 
Back
Top Bottom