Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

Unywe pombe,upige muziki msibani halafu udai unaomboleza una machungu!?
Aliyekuambia msiba una kanuni Moja ya kuomboleza nani? Kwamba Kila mtu alie au kuhuzunika? Mbona unakuwa mshamba,ndugu?

Msiba ni sherehe kama sherehe zingine tu,watu wanasherekea siku zako ulizokuwa duniani na sasa umesepa.

Wakristo tunasema "umevipiga vita vizuri,Imani umeilinda mwendo uneumaliza".

Hivyo basi,siku ya msiba wako tunasherekea kumbukumbu ya maisha yako.

Na hii siyo lazima kwa wakristo wote na haijaandikwa popote,ni swala la familia binafsi maana wapo wasiofanya hayo mambo na hakuna wa kuwalaumu. Ila kama Hela ipo kwa nini watu wasile na kunywa na kusherekea kwa muziki (japo siyo bongo flavor bali ni gospel) kwenye siku yako ya kukuaga?

Hili nalo linaleta nongwa ya kiimani kwa msiokuwa wakristo wajameni?
 
Kesho tena utauliza kwa nini Wakristo hawazunguki sinia la ubwabwa kwa umoja kama waislamu kipindi cha idd
Tukijadili wakristo watu hupiga picha wakristo wa maofisini,kama akina mkapa,tibaijuka nk, hata maaskofu akili Yao hivyohivyo, ndiyo maana wanaamini waumini wao hawawezi Vaa Madera

Ninapoishi masikini wengi ni wakatoliki na nawatuma kazi,wanawake huvaa Madera,vijora
Na Milo yao ni ya kijamaa,wanazunguka sinia
 
Swali lipi gumu? Ulisema wachungaji wanavaa suti na makoti ya suti kwa kuigaiga wazungu.
Nikakuuliza masheikh wanaovaa hivyo wanaiga kwa nan?

Hapo ugumu wa swali langu upo wapi?
Pitia majibu yangu kwako, sababu nishajibu Hilo kwenye maelezo,usipiona jibu ni Aisha una shida ya upeo au mental case
 
Tukijadili wakristo watu hupiga picha wakristo wa maofisini,kama akina mkapa,tibaijuka nk, hata maaskofu akili Yao hivyohivyo, ndiyo maana wanaamini waumini wao hawawezi Vaa Madera

Ninapoishi masikini wengi ni wakatoliki na nawatuma kazi,wanawake huvaa Madera,vijora
Na Milo yao ni ya kijamaa,wanazunguka sinia
🚮
 
Pitia majibu yangu kwako, sababu nishajibu Hilo kwenye maelezo,usipiona jibu ni Aisha una shida ya upeo au mental case
Hakuna ulipojibu. Nimekuelewa sababu najua ulikurupuka ndio maana inabidi uzuge kwa namna hii

Mwanzo ulikataa hakuna masheikh wanaovaa makoti ya suti msikitini, nilipokuonyesha naona ukabadili upepo huna tena unachojibu
 
Mtu akishakufa ni amekufa.

Umzike Leo Leo,umzike baada ya wiki au hata mwaka haiondoi ukweli kuwa ameshaaga Dunia.

Kinachotokea kwa wakristo wanaochelewesha kuzika ni kuupa tu msiba tafisiri ya "ulikuwa pamoja nasi na sasa umeondoka,tunasherekea maisha yako(Heshima)".

Mimi nadhani hili halihitaji kukosoa Wala kusifia,ni swala la mtu au familia na uwezo wao. Maana wapo wakristo wasio na uwezo wanazika tu kama waislamu hakuna mbwembwe zozote.

Na Familia Nyingine, misiba au Sherehe hukutanisha Ukoo pamoja, hivyo mtakua na mengi ya kuyajadiri kwa pamoja.
 
Kwa hili niko pamoja na nyie ndugu zangu kobasi, Wagalatia wa bongo wana mambo mengi na wanazingua sana panapo misiba😁
Ghana maiti inakaa mortuary hata miezi sita. Kila jamii ina utaratibu wake, mtu hawezi kufa asubuhi jioni anaenda kuzikwa.

Mazishi nayo ni sherehe, siku hizi watu huita "Kumbukumbu ya upendo kwa marehemu ". hiyo kumbukumbu unaifanyaje wakati unazika 5hrs baada ya mtu kufa.

Let's not complicate maisha, japo ni kweli gharama zipo, ila kwa sasa it's the only way unaweza kutanisha ndugu.
 
Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi tukahudumie jamii
Point yako ya msingi hapa ni ipi?? Unataka wafuate dini yako namna ya kuzika au ni nini???

Kuna watu madaktari wa umma hapo, wapo msibani ya 3
Ukienda kazini wewe inatosha, hakuna sheria inasema kila siku watu wote waende kazini.
 
Hata kuoa pia. Waislamu ni chap chap, njoo kwa wakristo wenzangu sasa.....
Mkuu,

Hata hili la kuoa Lina majibu yake Tena mepesi sana.

Mambo yote mawili kuoa na kifo kwa wakristo kuwa matukio makubwa Wala siyo swala la dini,ila ni swala la familia binafsi.

Wasio na uwezo katika maswala ya kuoa,Wala hawana mbwembwe zozote. Mimi nimeshuhudia harusi za aina hiyo ambazo hazina mambo mengi kwa wakristo.

Ila ukijiweza na kama ni mtoaji wa michango kwa wengine,kwa nini na wewe ukiwa na jambo lako lisiwe kubwa kama wao?

Mwezi uliopita nimeshuhudia harusi ya kiislamu yenye sifa zote za kikristo kwa maana ya gharama. Ilikuwa ni kwa sababu aliyeoa alikuwa na uchumi mzuri.

Sikushuhudia Madera harsini Wala vigoma na madufu ya vijana huku wanacheza amapiano kama harusi za waislamu wengi uswahilini.

Jioni zikikuja gari special for hire na watu wakapelekwa Mwigo hotel pale Tabata kumalizia sherehe. Wahusika ni waislamu ila walikuwa na kipato.

Hata harusi ya Binti wa GSM Ambae ni Muislamu hapo juzi haikuwa ya "chapchap". Ilikuwa na mbwembwe nyingi tu na walihudhuria watu wengi maarufu. Ila angeweza kufanya kimya kimya bila camera,ila hakuchagua hiyo Njia.

Haya mambo yanahusiana na nafasi uwezo na siyo dini.
 
Ni kweli mkuu hata mimi nimeoa bila mbwembwe za sherehe wala kuandikishana mkataba.

Tatizo utaratibu wa hizo mbwembwe kwa sisi wakristo umezoeleka sana kiasi cha kuonekana ndivyo inatakiwa kuwa. Kuna wenye uwezo mdogo wanaingia mpaka kwenye madeni sababu ya kufanya sherehe ya harusi.

Hata wanawake jinsi walivyoi-fantasize hiyo sherehe ya harusi ni wachache wanaweza wakakubali kuolewa bila msafara wa matarumbeta
 
Upo sahihi.
 
Ghana maiti inakaa mortuary hata miezi sita. Kila jamii ina utaratibu wake, mtu hawezi kufa asubuhi jioni anaenda kuzikwa.

Mazishi nayo ni sherehe, siku hizi watu huita "Kumbukumbu ya upendo kwa marehemu ". hiyo kumbukumbu unaifanyaje wakati unazika 5hrs baada ya mtu kufa.

Let's not complicate maisha, japo ni kweli gharama zipo, ila kwa sasa it's the only way unaweza kutanisha ndugu.
Kuna tamaduni mbovu na nzuri, utamaduni wa kumuweka maiti zaidi ya wiki baada ya kufariki ni wa kijinga.
 
Haiwezekani mtu kufa asubuhi na kuzikwa jioni, hata kama amekufa....sio sawa! Mtu sio mbwa, lazima tu-celebrate maisha yake
 
Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi tukahudumie jamii
Unafikiri kwa Nini mwamedi alizikiwa ndani ya chumba Cha bi Aisha?
Kwa sababu alidecompose na hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kumzikia mulemule!
 
Back
Top Bottom