Sijawahi kuyatumia yeyote kati ya hayo.
habari yako leejaHapo ni Almudhish tu mkuu
Yote ni bora tu, na hakuna tofauti kubwa ya kimsingi, japokuwa Almudhish (kopo la kushoto kwenye hiyo picha, kopo lina maandishi ya kiarabu) kwa huku kwetu Tz yana jina kubwa kidogo hivyo na bei yake ni kubwa kidogo zaidi ya Lato (tofauti kama ya 10% kwenye bei).