Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?

20240503_105346.jpg
 
Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?

View attachment 2983536
Yote ni bora tu, na hakuna tofauti kubwa ya kimsingi, japokuwa Almudhish (kopo la kushoto kwenye hiyo picha, kopo lina maandishi ya kiarabu) kwa huku kwetu Tz yana jina kubwa kidogo hivyo na bei yake ni kubwa kidogo zaidi ya Lato (tofauti kama ya 10% kwenye bei).
 
Hahahaha maziwa yote hapo nayapenda sana najilamba kama nyau
 
Back
Top Bottom