According to the Centers for Disease Control and Prevention (CDC), from 1993 through 2012,
dharau hizi kabisa mimi najua tu "Please may i go to toilet" alafu analeta maandishi marefu namna hiiHii lugha tulioishia darasa la pili C umetuacha
dharau hizi kabisa mimi najua tu "Please may i go to toilet" alafu analeta maandishi marefu namna hii
Anyone..."Kufanya" Biology au medicine ni vipi??!!.
The said milk can only pose risks to someone and his family or to anybody else who would drink it??!!
Hahaaa nimekumbuka tulivokua tunapata tabu hapo jamani, mwisho inabidi ujikaze mpaka kipindi cha English kipite ndo upate upenyo wa kwenda huko toidharau hizi kabisa mimi najua tu "Please may i go to toilet" alafu analeta maandishi marefu namna hii
Halafu Yale matamu kinyama .. huyu jamaa mchawi tu..🤣Wanakutisha tu, tungeshakuzika kitambo. Napenda lile ganda/ utando wa juu kwenye maziwa mgando, tukiwa wadogo unalilia timing unalila kipande kidogo unamrushia paka kumuuzia kesi.
Sie wakati huo maziwa yanakamuliwa kwa ng'ombe bado ya moto unayapiga kwenye kipeyu bado yanatoa ule moshi
Halafu Yale matamu kinyama .. huyu jamaa mchawi tu..🤣
Mkuu nasemea Yale ya kutoka kwa ng'ombe directly yani dah! Kuna vitu vitamu nyie..😅Nilijua peke yangu tu ndio naielewa top layer ya maziwa.
Mkuu nasemea Yale ya kutoka kwa ng'ombe directly yani dah! Kuna vitu vitamu nyie..😅
Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara.
Nawasilisha.
Huyu jamaa mchawi tu..Hayo nimepiga sana, sichezi mbali na zizi.
Umenikumbuka masulu ni matamu hayo ila ni kama mchuzi mepesii hamna matuli hata kidogo😂Hata sielewi mmetoka kwenye chanjo ya COVID eti siyo salama sasa mmeamua kusema na maziwa ni sumu,, wakati huko vijijini maziwa wanakunywa bila kuchemsha toka kitambo,,
Kwani ww ni dokta, tumekunya maziwa ambayo hayachemshwa huko vijijini wakati tunachunga ng'ombe,,
Unayajua yale maziwa wanyakyusa wanaita MASULU ww
Hivi kuna watu wanakunywa maziwa ambayo hayajachemshwa. Duh!Weupe wa maziwa usikufanye ukahisi yapo salama hivyo. Yanaweza yawe safi lakini si salama, hapa nazungumzia uwepo wa vimelea vya magonjwa, kama bacteria na virus kwa maziwa hayo.
Kuanzia uvunaji wa maziwa, uhifadhi na hata wavunaji wenyewe huweza kuleta vimelea humo. Hapa sija zungumzia magonjwa na vimelea vinavyobebwa na ng'ombe mwenyewe kutoka katika chakula, malazi , magonjwa n.k.
Hata kupata kifua kikuu inawezekana, maana vimelea vya TB vinaweza patikana ata katika maziwa, kama ng'ombe au mbuzi anaumwa tb. Pia kuhara kwa sababu maziwa huvutia bacteria wengi kuishi ndani yake, so sio poa kunywa bila kuchemsha hata kiasi maana bacteria wengi hufa kwa joto la kawaida na ukiyachemsha hakuna vitamini itapotea kwa hayo maziwa.
Mkuu kwa maziwa ya mama je mtoto anaponyonya kwa nini asiyachemshe maziwa ya mama kuepuka maradhi ?Weupe wa maziwa usikufanye ukahisi yapo salama hivyo. Yanaweza yawe safi lakini si salama, hapa nazungumzia uwepo wa vimelea vya magonjwa, kama bacteria na virus kwa maziwa hayo.
Kuanzia uvunaji wa maziwa, uhifadhi na hata wavunaji wenyewe huweza kuleta vimelea humo. Hapa sija zungumzia magonjwa na vimelea vinavyobebwa na ng'ombe mwenyewe kutoka katika chakula, malazi , magonjwa n.k.
Hata kupata kifua kikuu inawezekana, maana vimelea vya TB vinaweza patikana ata katika maziwa, kama ng'ombe au mbuzi anaumwa tb. Pia kuhara kwa sababu maziwa huvutia bacteria wengi kuishi ndani yake, so sio poa kunywa bila kuchemsha hata kiasi maana bacteria wengi hufa kwa joto la kawaida na ukiyachemsha hakuna vitamini itapotea kwa hayo maziwa.
Maziwa ya mama hayana shida sababu yanatoka kwa binadamu na kuingia kwa binadamu mwingine, system ni moja na yana faida kibao kushinda ya ng'ombe. Lakini pia, wamama wanapewa limit ya kumnyonyesha mtoto sana sana kwa miezi sita tu (nafkiri, naeza kosolewa) na pia wanaagizwa kuwa makini na diet yao during hio period ya kunyonyesha na pia wakati wanaponyonyesha wakinge titi dhidi ya vumbi ndio maziwa yasipate uchafu mtoto anaponyonya. Tena wakina mama wanapewa kisomo ya madawa ambayo hawafai kuwa wanatumia mpaka washauriane na daktari katika kipindi hicho sababu dawa hizo hupitia kwenye mishipa na kusambaa hadi kwa titi na mtoto hufyoza maziwa yaliona dawa, so hawafai kutumia vileo au dawa strong zozote. Kila kitu kina limitation zake mkuuMkuu kwa maziwa ya mama je mtoto anaponyonya kwa nini asiyachemshe maziwa ya mama kuepuka maradhi ?