Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Naulizia kuhusu nguvu yaani virutubishoYa ng'ombe ni mazuri maana yanakuwa bado na uasili wake
Ni sawa ila kilichomo ni Bora kuliko ya formulae?Ya ng'ombe ni mazuri maana yanakuwa bado na uasili wake
Kina tegemea na kipato chako yote mtoto anakua hata uji tu, lactrogen ni sh 31000 kila baada ya wiki ununue kopo mbili una pesa?Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?
Yapi yana nguvu?
Jibu swali mkuu .Achana na kipato halafu mtoto WA mwaka hawezi kumaliza kopo baada ya wiki huyu sio mchanga anakula na vitu vingine.kwa umri huu budget ya maziwa yote inakuwa sawaKina tegemea na kipato chako yote mtoto anakua hata uji tu, lactrogen ni sh 31000 kila baada ya wiki ununue kopo mbili una pesa?
NdioNi sawa ila kilichomo ni Bora kuliko ya formulae?
Wewe endelea na kampeni zako za kutukana wanawake.mambo ya kulea utajulia wapi?Wewe hauna maziwa ya kumnyonyesha?
Wewe endelea na kampeni zako za kutukana wanawake.mambo ya kulea utajulia wapi?
Acha upu'ribs kakuuliza swali zuri sana.... maziwa yako yana virutubisho kuliko yote uliyotaja, labda kama una ukimwi... na by the way usilinganishe unga wa Sauzi Africa na maziwa ya ng'ombe. Baadhi yenu Wanawake sijui akili zipo upande gani... kila siku unaona media zinatangaza maziwa mbalimbali wanayatoa sokoni yana kasoro, wewe bado unakuja kuomba ushauri wa comparison, poor u.Wewe endelea na kampeni zako za kutukana wanawake.mambo ya kulea utajulia wapi?
Mtoto WA 1-3 yrs wanawake wachache Sana Wana bahati ya kunyonyesha muda wote.ila kwa sababu mna mihemko na kulea hamjui ndo maana mnaleta ujuaji hapaAcha upu'ribs kakuuliza swali zuri sana.... maziwa yako yana virutubisho kuliko yote uliyotaja, labda kama una ukimwi... na by the way usilinganishe unga wa Sauzi Africa na maziwa ya ng'ombe. Baadhi yenu Wanawake sijui akili zipo upande gani... kila siku unaona media zinatangaza maziwa mbalimbali wanayatoa sokoni yana kasoro, wewe bado unakuja kuomba ushauri wa comparison, poor u.
Tumia ya mbuzi...
...Ni hayo tu!!!
wewe hii idara sio yako nakuambia.Maziwa ya mama ni bora kuliko ya ng'ombe na ya kopo. Tatizo mnaogopa matiti kulala, yatalala tu. Hata bibi alikuwa mwali chuchu saa sita
Asante Sana kwa ushauriVyote ni sawa cha kuangalia ni kipi kinapatikana katika eneo lako kiurahisi
Kuna maneno huwa hayana maana sana ila watu weng wanapenda kuyatumia ili kuibia watu vizr Neno asili na chemical
Hawa ni wataalamu wamebobea kwa afya ya watoto na huu ndiyo ushauri wao, wanatoa na sababu za kisayansi! Ni kimalkia rahisi sana kama unapenda kujifunza!Maziwa yapi bora kwake