Maziwa ya ng'ombe na maziwa ya formula kwa mtoto wa mwaka 1-3

Maziwa ya ng'ombe na maziwa ya formula kwa mtoto wa mwaka 1-3

Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?

Yapi yana nguvu?
Kina tegemea na kipato chako yote mtoto anakua hata uji tu, lactrogen ni sh 31000 kila baada ya wiki ununue kopo mbili una pesa?
 
Kina tegemea na kipato chako yote mtoto anakua hata uji tu, lactrogen ni sh 31000 kila baada ya wiki ununue kopo mbili una pesa?
Jibu swali mkuu .Achana na kipato halafu mtoto WA mwaka hawezi kumaliza kopo baada ya wiki huyu sio mchanga anakula na vitu vingine.kwa umri huu budget ya maziwa yote inakuwa sawa
 
Cerelac (Nestle) kopo Moja tu mtoto akimaliza unaanza kuona mabadiliko.
Mtoto anachangamka haraka sana.
Pia Ina ladha nzuri hasa ya ndizi.
Bei 25,000
 
Vyote ni sawa cha kuangalia ni kipi kinapatikana katika eneo lako kiurahisi

Kuna maneno huwa hayana maana sana ila watu weng wanapenda kuyatumia ili kuibia watu vizr Neno asili na chemical
 
Wewe endelea na kampeni zako za kutukana wanawake.mambo ya kulea utajulia wapi?
Acha upu'ribs kakuuliza swali zuri sana.... maziwa yako yana virutubisho kuliko yote uliyotaja, labda kama una ukimwi... na by the way usilinganishe unga wa Sauzi Africa na maziwa ya ng'ombe. Baadhi yenu Wanawake sijui akili zipo upande gani... kila siku unaona media zinatangaza maziwa mbalimbali wanayatoa sokoni yana kasoro, wewe bado unakuja kuomba ushauri wa comparison, poor u.

Tumia ya mbuzi...

...Ni hayo tu!!!
 
Mtoto WA 1-3 yrs wanawake wachache Sana Wana bahati ya kunyonyesha muda wote.ila kwa sababu mna mihemko na kulea hamjui ndo maana mnaleta ujuaji hapa
Ningeuliza kwa mtoto WA siku 0 Hadi miezi sita Hadi mwaka ungeweza kuniripokea na Hilo swali.ila kwa sababu uzoefu huna ndo maana unashoboka.
 
Tumia kati ya aptamil au Sma cha muhimu zingatia umri
 
Vyote ni sawa cha kuangalia ni kipi kinapatikana katika eneo lako kiurahisi

Kuna maneno huwa hayana maana sana ila watu weng wanapenda kuyatumia ili kuibia watu vizr Neno asili na chemical
Asante Sana kwa ushauri
 
Maziwa yapi bora kwake
Hawa ni wataalamu wamebobea kwa afya ya watoto na huu ndiyo ushauri wao, wanatoa na sababu za kisayansi! Ni kimalkia rahisi sana kama unapenda kujifunza!

Usimpe maziwa ya ng'ombe mara kwa mara yana gesi nyingi itamsumbua tu mtoto
 
Back
Top Bottom