Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Habari ya Jumapili wanajukwaa pendwa kabisa,
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naenda Straight to the topic. Mimi kijana ambaye napenda sana mazoezi hasa ya body workout.
Yaani ni mazoezi ya pushups, pelvic floor muscles, squash, na jumping jacks hasa pushups napenda sana lakini sipendi na wala sitokuja kwenda gym. Kwa siku naweza piga pushups mia mbili na kumi asubuhi na jioni. Sasa kutokana na kubanwa na shughuli za hapa na pale nikasema nitakuwa nafanya hizi body workout weekends.
Aisee! Leo nimeamka nikafanya warmup kama dakika tano hivi. Nikaanza mazoezi Nikamaliza vizuri tu. Ile natembea hatua moja tu mara nikajikuta na nabanwa kutapika na kuharisha double impact at the same time, mwili hauna nguvu, kizunguzungu mbele giza. Nikawahi msalani ile kukaa niliharisha na kutapika sijawahi ona, jasho linanitoka ndo atleast mwili ukaanza kukaa sawa.
Hii ni first time inanitokea wenye experience ya hili suala hebu tupeni mrejesho maana leo Aisee. Ni Mungu Tu.
Namalizia kwa kusema: "Fitness is like a relationship you can't cheat on it and expect to work!