Mazoezi bila mpangilio yanaweza kukuondoa uhai aisee!

Mazoezi bila mpangilio yanaweza kukuondoa uhai aisee!

Fanya mazoezi kiasi, kikubwa zingatia mlo kamili kwa siku hasa protein nyepesi Kama maziwa na mayai cause unapofanya mazoezi kitu kinachoendesha mwili Kama mafuta kwenye gari ni protein Sasa protein ikiwa chini misuri ndo inaumia kwa kutanuka na kulegea.
 
Habari ya Jumapili wanajukwaa pendwa kabisa,

Natumaini wote ni wazima wa afya.

Naenda Straight to the topic. Mimi kijana ambaye napenda sana mazoezi hasa ya body workout.

Yaani ni mazoezi ya pushups, pelvic floor muscles, squash, na jumping jacks hasa pushups napenda sana lakini sipendi na wala sitokuja kwenda gym. Kwa siku naweza piga pushups mia mbili na kumi asubuhi na jioni. Sasa kutokana na kubanwa na shughuli za hapa na pale nikasema nitakuwa nafanya hizi body workout weekends.

Aisee! Leo nimeamka nikafanya warmup kama dakika tano hivi. Nikaanza mazoezi Nikamaliza vizuri tu. Ile natembea hatua moja tu mara nikajikuta na nabanwa kutapika na kuharisha double impact at the same time, mwili hauna nguvu, kizunguzungu mbele giza. Nikawahi msalani ile kukaa niliharisha na kutapika sijawahi ona, jasho linanitoka ndo atleast mwili ukaanza kukaa sawa.

Hii ni first time inanitokea wenye experience ya hili suala hebu tupeni mrejesho maana leo Aisee. Ni Mungu Tu.

Namalizia kwa kusema: "Fitness is like a relationship you can't cheat on it and expect to work!
Nenda kapime malaria na typhoid kwa kuanzia,mazoezi hayawezi kuzuia hayo magonjwa,kuna jamaa yangu ilishawahi mtokea hiyo,alitaka kuanguka ofisini wakamuawahisha hospitali ndio akagundilika na hayo maradhi...
 
Fanya mazoezi kiasi, kikubwa zingatia mlo kamili kwa siku hasa protein nyepesi Kama maziwa na mayai cause unapofanya mazoezi kitu kinachoendesha mwili Kama mafuta kwenye gari ni protein Sasa protein ikiwa chini misuri ndo inaumia kwa kutanuka na kulegea.
Hii science yako ya kuburn protein during vigorous exercise /activities nimeipenda
 
Fanya mazoezi kiasi, kikubwa zingatia mlo kamili kwa siku hasa protein nyepesi Kama maziwa na mayai cause unapofanya mazoezi kitu kinachoendesha mwili Kama mafuta kwenye gari ni protein Sasa protein ikiwa chini misuri ndo inaumia kwa kutanuka na kulegea.
Thanks
 
Nenda kapime malaria na typhoid kwa kuanzia,mazoezi hayawezi kuzuia hayo magonjwa,kuna jamaa yangu ilishawahi mtokea hiyo,alitaka kuanguka ofisini wakamuawahisha hospitali ndio akagundilika na hayo maradhi...
Ni kweli ngoja nikacheki maana tunatembea na maradhi
 
Watoto wa juzi? Fanya hata utafiti kabla uandike chief. Acha kufanya mazoezi sio fani yako.
Acha ubwege mazoezi sio fani it is necessity kwa yeyote ambaye shughuli zake za kila siku "hazimshughulishi" kwa sana physically!
 
Mbwembwe nyingi kijana.

Amka

Mshukuru Mungu kwa kuamka.

Chukua laba zako kimbia kama kilomita tatu hivi ni umbali kama wa dk 20 au 15.

Wakati unarudi ukiona unakaribia kama mita 50 sprint fasta sana kwa nguvu zote mpaka ufike kituo chako.

Then ukirudu usipoe ruka kamba zako kadhaa kama dakika 5 hivi.

Ukimaliza piga pushapu zako kama 30 hivi ni dakika kama 0.5 hivi.

Ukimaliza nyoosha viungo basi umemaliza kila kitu kaoge ushapiga tizi hapo.

Hiyo ni simple but sure
Sasa hapo sindio atakufa kabisa km push up tu anahalisha na kutapika
 
Nafanya mazoezi pushups 7 na mengine kidogo na niko fit tu
 
Back
Top Bottom