Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,228
Wewe pimbi hujielewi.Kichele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pimbi hujielewi.Kichele
Sawa mama, asante kwa taarifa.Wewe pimbi hujielewi.
Mkuu nina miaka sita kwenye haya mazoezi nimeanza tangu form 2,,mzeeWatoto wa juzi? Fanya hata utafiti kabla uandike chief. Acha kufanya mazoezi sio fani yako.
20,000 mpaka 150,000 kutegemeana na material, Design, uzito na ulipo nunua.Mazoezi ya Body Weight ni mateso yakujitafutia tu hemu nunua Dambell zako uanze Free Weight Workout kama utatapikatapika kama unaumwa wewe miPushup 2000 ili iweje nawakati ukichukua Dumbell zako ukaoiga Bi lips 20 tu unakula Movie na body linajengeka kama wakiume.
Hapo umeandika squash ila najua ulitaka kumaanisha squats.Habari ya Jumapili wanajukwaa pendwa kabisa,
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naenda Straight to the topic. Mimi kijana ambaye napenda sana mazoezi hasa ya body workout.
Yaani ni mazoezi ya pushups, pelvic floor muscles, squash, na jumping jacks hasa pushups napenda sana lakini sipendi na wala sitokuja kwenda gym. Kwa siku naweza piga pushups mia mbili na kumi asubuhi na jioni. Sasa kutokana na kubanwa na shughuli za hapa na pale nikasema nitakuwa nafanya hizi body workout weekends.
Aisee! Leo nimeamka nikafanya warmup kama dakika tano hivi. Nikaanza mazoezi Nikamaliza vizuri tu. Ile natembea hatua moja tu mara nikajikuta na nabanwa kutapika na kuharisha double impact at the same time, mwili hauna nguvu, kizunguzungu mbele giza. Nikawahi msalani ile kukaa niliharisha na kutapika sijawahi ona, jasho linanitoka ndo atleast mwili ukaanza kukaa sawa.
Hii ni first time inanitokea wenye experience ya hili suala hebu tupeni mrejesho maana leo Aisee. Ni Mungu Tu.
Namalizia kwa kusema: "Fitness is like a relationship you can't cheat on it and expect to work!
Vyuma vya kunyanyua vya mkono mmojammoja binakuwa Pair.Elezea vizuri ndo kitu gani hicho dambell
Ok sawa! Ila nina hizi za pushups zinaitwa T yaan vile vichuma vya kushikia nilinunua kumi na tano20,000 mpaka 150,000 kutegemeana na material, Design, uzito na ulipo nunua.
Na wewe hapa kwenye dambell ulitaka kuandika dumb bellsMazoezi ya Body Weight ni mateso yakujitafutia tu hemu nunua Dambell zako uanze Free Weight Workout kama utatapikatapika kama unaumwa wewe miPushup 2000 ili iweje nawakati ukichukua Dumbell zako ukaoiga Bi lips 20 tu unakula Movie na body linajengeka kama wakiume.
Basi nadhani labda ni muda sahihi kwako kustaafu.Mkuu nina miaka sita kwenye haya mazoezi nimeanza tangu form 2,,mzee
Sorry mkuu!! Ila hii ndo Jf ukikosea unakoselewa thanks...je ishawahi kukutokea..Hapo umeandika squash ila najua ulitaka kumaanisha squats.
Body building ni zoezi lolote hata kichurachuraMbona mazoezi anayofanya hayahusu Body Building.
Legends never die never retire..Basi nadhani labda ni muda sahihi kwako kustaafu.
Ahaa mkuu hebu fananua kidogo..Low blood sugar level. Next time wahi maji ya glucose
Huko gym ambako hutaki kuingia ndiyo mazoezi yangu yalipoanzia.Sorry mkuu!! Ila hii ndo Jf ukikosea unakoselewa thanks...je ishawahi kukutokea..
Hiyo ni Body Strength.Body building ni zoezi lolote hata kichurachura
Sureee! Primary reason mi ni mfupi ,na kamwili kadogo so nikienda gym mzee nitakuwa mfupi zaidiHuko gym ambako hutaki kuingia ndiyo mazoezi yangu yalipoanzia.
So tupo sehemu mbili tofauti, mimi na wewe.
Legends never die but they retire to keep the legacy.Legends never die never retire..
Nieleweshe tafadhaliHiyo ni Body Strength.
Mi ni 4'5 we una ngapi?Sureee! Primary reason mi ni mfupi ,na kamwili kadogo so nikienda gym mzee nitakuwa mfupi zaidi