Mazoezi bila mpangilio yanaweza kukuondoa uhai aisee!

Sureee! Primary reason mi ni mfupi ,na kamwili kadogo so nikienda gym mzee nitakuwa mfupi zaidi
Gym ni mkusanyiko wa mazoezi yote kwanini unaandika uwendi Gym while unafanya part ya Gym nyumbani...unakaririr gym ni kunyanyua chuma.
 
homa tuu maybe ulikua na maralia imeamua kukuatack baada ya kuchoka
 
Gym ni mkusanyiko wa mazoezi yote kwanini unaandika uwendi Gym while unafanya part ya Gym nyumbani...unakaririr gym ni kunyanyua chuma.
Sureee mkuuu,mi napenda mazoezi tu ambayo si ya kulift heavy
 
Muwekee na picha ya icho kifaa
 
Kama haujisikii homa iyo ni normal! Kwa idadi ya push up ulizopiga ni nyingi mafuta yameyeyuka ndo sababu umeharisha na kutapika ni kutokana na mapigo ya moyo kwenda kasi sana ivyo umekosa pumzika ndo sababu kizungu zungu! Ukipiga push up usinyanyuke gafla piga goti kwanza tulia kama dakika 1 ndo usimame juu... Pia umeuzidishia mwili kazi ndo sababu umepata mambo yote hayo.... Mazoezi ni kwa kiasi bro pia jitaidi wakati unafanya mazoezi uwe na maji ya kunywa ili kupunguza kizungu zungu mzee wangu! Ukiona hali inazidi kuwa mbaya nenda hospital kumuone daktari
 
Thanks broda umetishaaa!!! Huu ushauri nitaufanyia kazi kindaki ndaki..
 
Kuna mazoezi tunafanya
*Kujenga misuri(Body boulding)
*Streghth na wepesi (Kama kuuhimiri/miliki mwili wako)
Niambie ni kivipi kichurachura hakijengi misuli.
 
Kijana nakushauri uwe unakimbia mimi ndio mazoezi yangu ayo aisee kabla nilikuwa mpigaji pushapu mzuri sana Ila kwa sasa nakimbia vibaya mno mpka najiogopa so fanya mazoezi ya kukimbia yanakujenga mwili sana alafu kuna faida nyingi unatengeneza pumzi za kutosha alafu unakuwa uchoki kwenye mambo yetu yale ya kikubwa so kuna tofauti kubwa sana kati ya pushapu na kukimbia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tunahangaika kwenye riadha wewe upo umejificha na unakimbia mpaka unajiogopa
 
Mzee mi sitafuti body na nakula balance diet mi napiga mazoezi ya kawaida tu,sema na tupush up kdg sana ...mkuu sema hii imetokea tu! Kwani messi hajawahi kutapika Kwenye pich mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa hiyo unajifananisha na Messi.
Wee umeona wapi mtu katapika na kuharisha same time. Hiyo tizi ilikua kubwa kupitiliza kuna malaria ya mbaaali sana ukaileta.
 
Binafsi mm zoezi langu kubwa ni shadow boxing, napiga shadow box ndan ya dk 20, nikitoka hapo mwili upo saaf kabisa, napiga asubuh nikiamka na jion kabla ya kulala
Kukimbia pia napenda ila nimekuwa mvivu kidogo
 
Eti enhe maana mi napiga puli na pushups kwa pamoja mkuu...ila demu ninae.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa hiyo unajifananisha na Messi.
Wee umeona wapi mtu katapika na kuharisha same time. Hiyo tizi ilikua kubwa kupitiliza kuna malaria ya mbaaali sana ukaileta.
Daaa sure mkubwa ukizingatia na malaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…