Mazoezi bila mpangilio yanaweza kukuondoa uhai aisee!

Fanya mazoezi kiasi, kikubwa zingatia mlo kamili kwa siku hasa protein nyepesi Kama maziwa na mayai cause unapofanya mazoezi kitu kinachoendesha mwili Kama mafuta kwenye gari ni protein Sasa protein ikiwa chini misuri ndo inaumia kwa kutanuka na kulegea.
 
Nenda kapime malaria na typhoid kwa kuanzia,mazoezi hayawezi kuzuia hayo magonjwa,kuna jamaa yangu ilishawahi mtokea hiyo,alitaka kuanguka ofisini wakamuawahisha hospitali ndio akagundilika na hayo maradhi...
 
Hii science yako ya kuburn protein during vigorous exercise /activities nimeipenda
 
Uuuuwiii heeee sasa ma pushups yote hayo ya nini?
 
Thanks
 
Nenda kapime malaria na typhoid kwa kuanzia,mazoezi hayawezi kuzuia hayo magonjwa,kuna jamaa yangu ilishawahi mtokea hiyo,alitaka kuanguka ofisini wakamuawahisha hospitali ndio akagundilika na hayo maradhi...
Ni kweli ngoja nikacheki maana tunatembea na maradhi
 
Watoto wa juzi? Fanya hata utafiti kabla uandike chief. Acha kufanya mazoezi sio fani yako.
Acha ubwege mazoezi sio fani it is necessity kwa yeyote ambaye shughuli zake za kila siku "hazimshughulishi" kwa sana physically!
 
Sasa hapo sindio atakufa kabisa km push up tu anahalisha na kutapika
 
Nafanya mazoezi pushups 7 na mengine kidogo na niko fit tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…