Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

Mtoa mada anatuelezea sisi wenye vitambi aina rahisi ya tizi tena yenye gharama nafuu

Km kuna aina nyingine yenye gharama nafuu tujuze

Tunaposema gharama tunamaanisha muda na vifaa vya kutekeleza tizi husika
Ilitakiwa kwenye maelezo yake azungumzie mazoezi ya kuchoma kitambi direct. Na sio kusema kuruka kamba ni zoezi bora kuliko mzoezi yote.
 
Mazoezi ni dhana pana sana, zipo aina nyingi za mazoezi na kila zoezi lina lengo lake.

Hilo unalolisema linaitwa skipping na lina angukia kwenye kundi la aerobic exercises, hivyo lina faida na hasara zake.

Lakini huwezi kusema hilo zoezi ni bora, kwasababu kila zoezi lina lengo lake, leo hii mwakinyo afanye zoezi hilo kwa ajili ya shughuli zake itakuwa si sahihi, lazima atafute muscle power na sio kwa kuruka kamba.

Pia kuna mazoezi tiba kwa ajili ya wagonjwa, huwezi kumrukisha kamba mgonjwa aliye serious lazima akufie, hivyo huwezi Kusema hilo zoezi ni bora kuliko yote.

Kwahiyo zoezi bora ni lile lenye lengo maalumu na lenye kukidhi mahitaji kutokana na uhitaji.

Kweli akili huna, Mwakinyo anaingiaje kwenye mazoezi yenye lengo la afya na changamoto za jamii? Nenda kule vitasa forum
 
Kweli akili huna, Mwakinyo anaingiaje kwenye mazoezi yenye lengo la afya na changamoto za jamii? Nenda kule vitasa forum
Bro mbona unamtoa akili ndugu huyu!!
Alikua anajaribu kutoa elimu pana ya huu mtazamo wa ndugu aliesema kuruka kamba ndio mazoezi best kulinganisha na mengine ndio amejaribu kudadavua mahitaji ya mazoezi kwa mhusika na amekusudia nini.
 
Kweli akili huna, Mwakinyo anaingiaje kwenye mazoezi yenye lengo la afya na changamoto za jamii? Nenda kule vitasa forum
Tatizo humu mnajifanya wajuaji sana, nimereply kutokana na kile kilichoandikwa, hayo mnayoyasema nyinyi mmejiongeza na kudhani kuwa mleta mada alitaka kuzungumzia mazoezi ya afya na changamoto za jamii.
 
Km umesoma bandiko utaona uchomaj wa kitamb umezungumziwa kwa kiwango kikubwa
Kama unazungumzia mazoezi tu ya kuchoma kitambi, hata mazoezi anayofanya mwakinyo(huu ni mfano tu), yanachoma calories sana kulinganisha na hilo la kuruka kamba.

Sasa je kama lengo ni kuchoma tu kitambi ndio tufanye kama hayo ya mwakinyo ?
 
Mwakinyo ile ni kazi. Na mgonjwa anatakiwa apate mazoezi-tiba na si mazoezi kama mazoezi. Kwa mtu anayetaka kuchoma kitambi kwa kutumia mazoezi yaliyozoeleka, kuruka kamba ni mazoezi bora aidi.
Hayo mazoezi tiba, ni haya haya mzoezi ya kawaida isipokuwa yanakuwa modified kulingana na hali ya mgonjwa na kuendelea ku monitor vital signs.
 
Kama unazungumzia mazoezi tu ya kuchoma kitambi, hata mazoezi anayofanya mwakinyo(huu ni mfano tu), yanachoma calories sana kulinganisha na hilo la kuruka kamba.

Sasa je kama lengo ni kuchoma tu kitambi ndio tufanye kama hayo ya mwakinyo ?
Braza unaleta utani ktk ishu sirias Wallah

Mtoa mada anajaribu kutuhamasisha sisi wenye vitambi walau turuke kamba

Lkn wew unataka tufanye mazoez ya mwakinyo ambae ni sinia kwenye swala la tizi

Braza unadhan tutayamudu hayo ya mwakinyo ikiwa pushups kumi tu na kuruka kamba dk10 kwa siku bado mtihan
 
Eleza kitu specific ili ueleweke, pengine uko sahihi lakini namna unavyofikisha ujumbe unakuwa na utata.

Kama mleta mada angekuwa ameandika hivyo toka hapo awali, nisingetoa maelezo hayo niliyotoa.
 
Eleza kitu specific ili ueleweke, pengine uko sahihi lakini namna unavyofikisha ujumbe unakuwa na utata.

Kama mleta mada angekuwa ameandika hivyo toka hapo awali, nisingetoa maelezo hayo niliyotoa.
Tupe aidia ya kufanya mazoez simpo tu ili kujiweka sawa kiafya ili kupunguza vitamb vya nyama choma na visungura
 
Weeee.....😯
Usiniambie.....😐
Kwahiyo kwa kile kichapo Mandoga mtu kazi alichopata, lile ni zoezi tosha...!!😜
 
Back
Top Bottom