Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #81
Kwa urefu huo na uzito wake hawezi kuwa na kitambi kikubwa kihivyo. Ila uzito wake umezidi. Anatakiwa kupunguza kilo tatu nne hivi. Kama moyo uko fresh mazoezi ambayo kuna chance ndogo ya kuwa injured kama kuruka kamba yatamfaa sana. Ila ni vyema akaongea na mtaalamu wake kuhusu mazoezi kama anatumia dawa za kisukar.Naomba kujua hili.
Shemej yangu ana kilo 87 na urefu ni futi 6 na anakitambi kikubwa tuh.
Anasumbuliwa sana na Sukar.
Sasa ni mazoiz Yapi yatamfaa kubalance sukar yake na kitambi kiweze kupungua