Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

Binafsi naishi tu sifanyi zoezi la aina yeyote ile zaidi ya tatizo dogo la moyo ambalo ninalo toka nikiwa mtoto. Pamoja na kutambua umhuhimu wa mazoezi lakini naonaga kama nikianza mazoezi najitafutia matatizo.
Pole sana mkuu
 
Je, kukimbia km 10 kwa siku kwa angalau siku 4 kwa wiki? Inasaidia? Maana majukumu mengi
Ni bora utazame zaidi kwa upande wa time kuliko km.

WHO wanataka angalau dakika 150 kwa wiki, kwahyo unaweza fanya hivyo lakini ufikishe tu hizo dakika.

Lakini unaposema unakuwa na majukumu, hayo majukumu ni yapi ? , maana yanaweza kuwa ni zoezi tosha.
 
Km 10 ni wastani wa saa moja hadi saa moja na dakika 10.
 
Km 10 ni wastani wa saa moja hadi saa moja na dakika 10.
Hii inategemeana na vitu vingi sana, kuna watu wanaweza kimbia hizo km pungufu ya huo muda tena mda mchache zaidi.

Ni bora ujue umekimbia kwa dakika ngapi, bila kujua km, lakini kama unataka kujua maendeleo yako ni vyema kufanya documentation ya huo umbali.
 
Naomba kujua hili.
Shemej yangu ana kilo 87 na urefu ni futi 6 na anakitambi kikubwa tuh.
Anasumbuliwa sana na Sukar.
Sasa ni mazoiz Yapi yatamfaa kubalance sukar yake na kitambi kiweze kupungua
 
NAomba kujua hili jambo.
Shemej yangu anakitambi na ana kilo 87 anasumbukiwa sana na Sukari.Ivi ni mazoez yapi yatamfaa kubalance sukar na kitambi kipunguwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…