Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #81
Kwa urefu huo na uzito wake hawezi kuwa na kitambi kikubwa kihivyo. Ila uzito wake umezidi. Anatakiwa kupunguza kilo tatu nne hivi. Kama moyo uko fresh mazoezi ambayo kuna chance ndogo ya kuwa injured kama kuruka kamba yatamfaa sana. Ila ni vyema akaongea na mtaalamu wake kuhusu mazoezi kama anatumia dawa za kisukar.Naomba kujua hili.
Shemej yangu ana kilo 87 na urefu ni futi 6 na anakitambi kikubwa tuh.
Anasumbuliwa sana na Sukar.
Sasa ni mazoiz Yapi yatamfaa kubalance sukar yake na kitambi kiweze kupungua
Duh, mie jmosi na nakimbia km 6 total 12. Jumatatu hadi ijumaa, kuna siku naruka kamba kuna siku nafanya mazoezi ya viungo tuNakimbiaga km 2 kila jumapili. Vipi na gain ama niachane nayo?
Duh, mie jmosi na nakimbia km 6 total 12. Jumatatu hadi ijumaa, kuna siku naruka kamba kuna siku nafanya mazoezi ya viungo tu
SawaJaribu kila Km moja usitumie zaidi ya dkk kumi
Leo sijakimbia barabarani ila nimeruka kamba zangu 800 kwa set ya mia mia. Mazoezi ya viungo aina 4 kwa set 10 x 3....nimetoka jasho la kutosha.....enough for today[emoji120]Jaribu kila Km moja usitumie zaidi ya dkk kumi