Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

Status
Not open for further replies.
Kama ni watu wakuwalaumu kwa kulivuruga taifa letu katika watano wa kwanza wale wa nec nawapa namba 4,msajili 5,naibu wa watunga sheria 3,na msemaji wawatunga sheria anashahili bamba 2.Moja naihifadhi kwa sababu maalumu.
 
Msipeleke ajenda za mkutano muendelee kufyekwa.
Mtu unaitwa mkutano na unatanguliza masharti yako
 
Ndio rais ni mkuu sana hizi kelele za wanywa konyagi hadi kuanguka waishie kwa shibuda tu
Shibuda keshamfunika Mbowe kwa mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimsingi yanayolalamikiwa yanajulikana kabisa. Bila kuwa na malengo genuine na honest kutoka pande zote mbili ni kupoteza muda tu. Kwa kifupi haya mambo yanataka ukomavu wa kisiasa, kuweka ubinafsi na uchama pembeni bali maslahi ya Taifa yatangulizwe. Upande wa serikali wajue nchi yoyote yenye upinzani imara ni afya kwa Taifa na upinzani ni mdau muhimu sana wa kuendesha nchi na wapinzani waweke matumbo yao pembeni watangulize nchi mbele. Pande zote mbili zikiwa na haya malengo watajikuta kikao kinakuwa productive na hakitahitaji hata watu kama kina Shibuda ambao wanajulikana na wachumia matumbo tu.
 
Kama siyo siri ni kwanini zisiwasilishwe moja kwa moja kwa mhusika au aseme ziwekwe mtandaoni?
Anyway, vyama vya siasa vina matatizo yao ambayo probably yanaweza yasiwe matatizo ya wananchi ndio maana yanakuwa siri ???
 
Hebu acha kuandika ujinga!!!! Hao Covid-19 waendelee kuwa Bungeni Kwa katiba ipi!? 😳😳
 
Anyway, vyama vya siasa vina matatizo yao ambayo probably yanaweza yasiwe matatizo ya wananchi ndio maana yanakuwa siri ???
Hakuna siri yoyote. Japo naweza kusema mara nyingi viongozi wa nchi zetu za kiafrika huwa hawapendi matakwa ya mazungumzo kama haya kuwekwa hadharani hasa kabla hawajazungumza. Ila hakuna siri yoyote na yangewekwa wazi kabla hayajaanza.
 
Ndugu Zangu Hofu Ni Mbaya Yaani Tunatishana Sana
Hata Hii COVID 19 Tutaimaliza Kwa Maombi Tu
JPM
 
Sasa kwa mantiki hiyo zile agenda zinazoonekana za moto naona haziwezi fikishwa kwa namba moja.
Jaji mutungi atapeleka zile ambazo hazina madhara yoyote kulinda ugali wake.
 
Mbona CHADEMA wote?

Kumbuka anakutana na vyama vya siasa vyote ikiwemo CCM...
 
Ndio rais ni mkuu sana hizi kelele za wanywa konyagi hadi kuanguka waishie kwa shibuda tu
Itifaki ifuatwe, Rais alisema atkutana na viongozi was vyama vya upinzani.
Na kama wapinzani waliomba, hawakupitia kwa msajiri Wala shibuda.

Rais kweye kikao hicho atasimama akiwa Rais na siyo mwenyekiti was ccm.
Akisimama km mwenyekiti happy shibuda na mtungi hawakwepeki
 
Wapinzani wanapenda kulalamika bila sababu. Kwani wakiandika hizo hoja wakampelekea Jaji Mutungi au Shibuda na kuipa public copy watapungukiwa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…