The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Wakati wa mwendazake, hawa watu (wakuu Wa taasisi na idara za umma kama huyu Mutungi na wengine) walikuwa wanalazimishwa kuvunja sheria kwa matakwa na maslahi ya dikteta Uchwara...Binafsi Mutungi simwamini kabsaaa!
Mhmm! Mtu mzima anapojilipuwa vile. ....kwa elimu yake sikitarajia a behave namna ile. Simwamini kabisa.Wakati wa mwendazake, hawa watu (wakuu Wa taasisi na idara za umma kama huyu Mutungi na wengine) walikuwa wanalazimishwa kuvunja sheria kwa matakwa na maslahi ya dikteta Uchwara...
Hawakuwa na jinsi so long as wanalinda vibarua vyao...
Let's hope that, sasa wamefunguliwa toka ktk kifungo hicho. Tunaweza kuwapa "benefit of doubt" kwa kuanza kuwaamini tena though kuna wengine walishaathiriwa na utamaduni mbaya wa mwendazake na inaweza kuwa kazi kweli kubadilika...
Siasa ni ajira,Kimsingi yanayolalamikiwa yanajulikana kabisa. Bila kuwa na malengo genuine na honest kutoka pande zote mbili ni kupoteza muda tu. Kwa kifupi haya mambo yanataka ukomavu wa kisiasa, kuweka ubinafsi na uchama pembeni bali maslahi ya Taifa yatangulizwe. Upande wa serikali wajue nchi yoyote yenye upinzani imara ni afya kwa Taifa na upinzani ni mdau muhimu sana wa kuendesha nchi na wapinzani waweke matumbo yao pembeni watangulize nchi mbele. Pande zote mbili zikiwa na haya malengo watajikuta kikao kinakuwa productive na hakitahitaji hata watu kama kina Shibuda ambao wanajulikana na wachumia matumbo tu.