1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!"
2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk.
3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa.
4. Raia, wahanga wa vita hivi Gaza na Israel wanataka vita kusimama:
5. Kuna migomo na maandamano kote duniani kutaka vita hivi visivyokuwa na tija kusimamishwa sasa na visisikike tena!
6. Inafahamika kupatikana kwa taifa la Palestina ni mwarobaini wa kudumu kwa mzozo huu wa tangu 1948:
7. Kuna wahouthi na mashambulizi yao red sea kuendelea hadi vita vitakapo simama Gaza.
8. Kuna Hezbollah na mashambulizi yao kuendelea kaskazini mwa Israel hadi vita vitakapo simama Gaza.
9. Kuna HAMAS wanataka vita kusimama, kukoma kabisa, majeshi ya uvamizi kuondoka ambapo pia mateka wataachiliwa.
10. Kuna Israel wanataka vita visimame kwa muda, ili wapewe mateka wao kwanza, halafu vita vitaendelea baadaye.
11. #9 na #10 katika wawili hao nani anakidhi matakwa ya dunia au wadau wakiwamo: mataifa, wahanga, mashirika ya kiutu, mashirika ya kimataifa, nk?
12. Kwa HAMAS na Israel kushikilia misimamo yao kama ilivyo hapo #9 na #10 mtawalia, jahazi linakwenda mrama na kuna atakayewajibika na ukwamishwaji matakwa halali ya dunia haya.
13. HAMAS inaishutumu Israel kwa kuwa kikwazo kwenye usitishwaji mapigano kinyume na matakwa ya dunia, hivyo wakulaumiwa ni Israel!
14. Kama mchezo wa kuigiza Israel inaishutumu HAMAS kwa kushikilia msimamo wake na kuwa kikwazo kwenye usitishwaji mapigano kinyume na matakwa ya dunia, hivyo walaumiwe HAMAS!
13. Hivi nani asiyeona matakwa ya HAMAS, Houthi na hata Hezbollah ndiyo yaliyo matakwa ya dunia?
14. "Hivi Israel ni kwa kuiona dunia kama Tanzania ya akina @lucas_mwashambwa au wale wengine wa makwetu huku, walio kosa uthubutu wa kuhoji Kwa lolote; ila mabingwa wa kumwaga sifa na shukurani; bila shaka ikiwamo hata kwenye kuleta vita na hata kuirejelea baadaye au kuhakikisha haiishi kabisa kama hii ya huko Gaza?!"
15. Yahitaji kuwa zezeta kweli kweli tena wa kiwango cha kimataifa kumwelewa mwisiraeli hutumia kiungi kipi mwilini kufikiria na hata kudhani kuwa watu wote ni maboya boya tu, kama kina MK254 wa kule Buza!
16. Kwa porojo hizi za Israeli, kwa hakika hata mtoto mdogo wa darasa la tatu, hawezi kudanganyika!