std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Sawa. Mara nyingi sana nawataja na kuwakumbuka Akwilini, Ben, Azory, Mwangosi na Lissu aliyenusurika kifo baada ya kumiminiwa risasi na wasiojulikana wanaofugwa na anaejulikana1. Sikukusikia kufiwa na kina Ben, Azory, Lijenje, Mawazo nk, Wala wowote waliookotwa kwenye viroba.
2. Sikukusikia kufiwa wa ajali za majini, ardhini wala anga.
3. Sikukusikia ukjwaomboleza wa kuuliwa na mafuriko au hata wa kuuliwa na wanyama Wakali.
4. Kwani hao uliowataja na Hawa hapo tofauti yake Nini ndugu?
5. Haipo kuwa unalia machozi ya mamba TU ndugu?
Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!
Hata hivyo tulizana, tunapiga hatua kwenye mambo ya maridhiano.
Unapodai haki yako hakikisha pia unalinda haki ya mwingine.