Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Leta dondoo baada ya kumaliza mkuu maana nimesikiliza kidogo kwenye intro lakini sijasikia biashara ya wazazi wake zilikuwa wapi na aina gani?
video ina dakika 80 mkuu ๐Ÿคฃ
 
video ina dakika 80 mkuu ๐Ÿคฃ
Ile hailisho lilikuwa lina maana mkuu,kumeza scripts tu, angeongea na vyombo vya habari(press) tofauti na kuruhusu maswali atleast inge make sense.
 
Kujivua gamba haikua tuhuma za ufisadi bali CCM kutaka kukwepa masimango ya wafadhili,bashe alimdhihaki ridhwan kuwa mfadhili wangu ndiyo mfadhili wa babaako,ccm ikaanzisha utaratibu wa kutafuta fedha zake yenyewe,wakaanzisha kampuni ya madini
 
Kwa Akili zako ndogo kama kuku ndiyo unamuona ana level kubwa lakini kwa wenye Akili Timanu huyo Rostam Aziz hana uwezo wa kujibu chochote zaidi ya kujishaua shaua tu
Kasoma na kuhitimu London school of economics,wewe hata UDOM hukwenda
 
Ile hailisho lilikuwa lina maana mkuu,kumeza scripts tu, angeongea na vyombo vya habari(press) tofauti na kuruhusu maswali atleast inge make sense.
Leta dondoo baada ya kumaliza mkuu maana nimesikiliza kidogo kwenye intro lakini sijasikia biashara ya wazazi wake zilikuwa wapi na aina gani?


anasema mzee wake alianza akiwa na miaka 21, biashara za mkoa kwa mkoa --- mchele, vitunguu, ndizi, maharagwe, nguo, mafuta ya pamba, viazi, mahindi, ng'ombe, mbuzi na kondoo na kadhalika

Your browser is not able to display this video.
 
Inamaanisha kila Rais anayeingia madarakani anakuwa na mtandao wake na sio kama vile Polepole alivyotuaminisha

Lakini hapa kuna mmoja anatupanga wenzake na ukweli utafahamika
 
anasema mzee wake alianza akiwa na miaka 21, biashara za mkoa kwa mkoa --- mchele, vitunguu, ndizi, maharagwe, nguo, mafuta ya pamba, viazi, mahindi, ng'ombe, mbuzi na kondoo na kadhalika

View attachment 3466479
Basi kile kipande cha Mwananchi digital kilikatwa, ngoja na mimi nijipe muda wa kumsikiliza
 
Reactions: Lax
Huyu anatafuta kupigwa mashambulizi na Polepole...
Miafrica bana imezoea kutawaliwa mgodi ukiwa mzugu au mchina inafurahi lakini ikisikia ya Mtanzania hataki kabisa pumbavu kabisa.

Rostam ni mfanyabishara wa Kimataifa kama utaendelea kumchukia kwa mafanikio yake basi utaendelea kuumia.
 
Huwezi kugombea hizo nafasi bila kuwa na timu(mtandao),hata kugombea hizo nafasi serikali ya wanafunzi vyuoni huwa kuna mtandao
Alivyoongea hapo umeona ana akili kubwa kama taifa tuna safari ndefu

Na hamna mtu anayechukia utajiri wake ila kutumika na viongozi wa kisiasa Kuwaibia kama jamii hapo kuna shida

Umaskini mkubwa nchi hii unasababishwa na watu kama yeye
 
Miafrica bana imezoea kutawaliwa mgodi ukiwa mzugu au mchina inafurahi lakini ikisikia ya Mtanzania hataki kabisa pumbavu kabisa.

Rostam ni mfanyabishara wa Kimataifa kama utaendelea kumchukia kwa mafanikio yake basi utaendelea kuumia.
Kwa hio umeona unitukane sivyo?
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Huyo jamaa ana trauma ya maisha anayopitia thatโ€™s why nimemshauri apambanie reforms..!!
Wewe ni mtu MBADIIII

TUNDAMAN FT HARMONIZER_BADMAN ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Alivyoongea hapo umeona ana akili kubwa kama taifa tuna safari ndefu

Na hamna mtu anayechukia utajiri wake ila kutumika na viongozi wa kisiasa Kuwaibia kama jamii hapo kuna shida

Umaskini mkubwa nchi hii unasababishwa na watu kama yeye
Ameiba nini!?
 
Inamaanisha kila Rais anayeingia madarakani anakuwa na mtandao wake na sio kama vile Polepole alivyotuaminisha

Lakini hapa kuna mmoja anatupanga wenzake na ukweli utafahamika
Mtandao wa magufuli 2015 siyo wa kikwete 2005 wala si wa mkapa 1995,sumaye, Salim walikua na mitandao yao 2005
 
Angalia huyu punguani mwingine anadhani ukiwa mweusi ndiyo unakuwa Mtanzania acha ujinga.

Kampuni za Rostam zimetoa ajira 7000 kwa Watanzania analipa kodi serikali kuu. Wewe unawezakuwa Mtanzania umetoka mipakani Rostam eti Muhindi jinga kabisa wewe.

Kwa taarifa yako baba yake na babu yake Rostam kazaliwa Igunga.

Wewe baba yako tu hujui katoka wapi. Umesikini wako unaona umesababishwa na Rostam. Kwa ikiwq mweupe unapoteza sifa ya kuwa Mtanzania?
 
anasema mzee wake alianza akiwa na miaka 21, biashara za mkoa kwa mkoa --- mchele, vitunguu, ndizi, maharagwe, nguo, mafuta ya pamba, viazi, mahindi, ng'ombe, mbuzi na kondoo na kadhalika

View attachment 3466479
Zamani wakiitwa washihiri, walikua wanakopesha kama waha wanavyokopesha sasa hivi,hawasahau
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ