gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Tafuta uzi rostam alivyomuacha uchi mengi, mengi hakurudia tenaMengi alimtaja kitambo, baadae akajuvua gamba
Tafuta uzi rostam alivyomuacha uchi mengi, mengi hakurudia tenaMengi alimtaja kitambo, baadae akajuvua gamba
Huwezi kugombea hizo nafasi bila kuwa na timu(mtandao),hata kugombea hizo nafasi serikali ya wanafunzi vyuoni huwa kuna mtandaoNaona kuhusu mtandao kakubali
Na kasema kwenye kugombea nafasi za udiwani,ubunge, urais kuwepo mitandao ni jambo la kawaida 😄
Ova
Huyo ukimweka na polepole mjadala, polepole hatoongea kitu,huyo dingi yuko smart upstairs,mimi niliona press zake akimjibu mtikila,mengi na kujivua gamba,huyo siyo level za akina polepole+kichwani yuko vzr,
Mfanyabiashara yyt ukishafika
Level fulani lzm uwe mafia fulani 😄
Ova
Anzisha Uzi tuweke Kila kitu wazi tupimane. Sawa si unaleta uhaya hapa?Nimeona unaishia, cha kukushauri dai reforms kwa nguvu zako zote uache kutaabika..!!
Duh🙄😹😹😹 Umkute anafoka sasa..!!
Utasema naongea na bakheresa.
Kwa kifupi Polepole kamshiks pabaya anatapatapa tuHata anachoongea hakieleweki, yaani hana hoja kabisa
Wewe ndiyo mpumbavu mkubwa kumwamini zito ndumila kuweli ni uzwawa na kumsikiliza Rostam mwizi wa Rasilimali za Nchi ni upumbavu zaidi, wewe zuzu juha bakia na mwizi watanzania wenye Akili Timanu wanasimama na hakiPolepole ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa, kama Taifa na watu mnapoteza muda kumsikiliza basi wote wehu kama Polepole
Zitto Kabwe aliongea juzi kuwa Polepole anahitajj dawa za depression, leo ndio nimeamin baada ya kumsikiliza kwa kina Rostam Aziz.
Ufafia wa kutoa Amri Lisu apelekwe jela hiyo level ya kipumbavu kichwani hsyupo vizuri kwani hana ubinadamu+kichwani yuko vzr,
Mfanyabiashara yyt ukishafika
Level fulani lzm uwe mafia fulani 😄
Ova
Kwa Akili zako ndogo kama kuku ndiyo unamuona ana level kubwa lakini kwa wenye Akili Timanu huyo Rostam Aziz hana uwezo wa kujibu chochote zaidi ya kujishaua shaua tuHuyo ukimweka na polepole mjadala, polepole hatoongea kitu,huyo dingi yuko smart upstairs,mimi niliona press zake akimjibu mtikila,mengi na kujivua gamba,huyo siyo level za akina polepole
Kama zile tuhuma za ufisadi hazikuwa na ukweli kwa nini alijivua gamba ? Huyu Ponjoro anawabebesha Madodoki na Sabuni kina Balile kwa ajili ya kumsafisha na tuhuma za ufisadi, ukiona unahatarisha maslahi yake yupo tayari kuua.. muulize Kubenea na issue ya kumwagiwa tindikali !Huyo ukimweka na polepole mjadala, polepole hatoongea kitu,huyo dingi yuko smart upstairs,mimi niliona press zake akimjibu mtikila,mengi na kujivua gamba,huyo siyo level za akina polepole
Ila wewe jamaa 😔😔Kumbe ndiomana unakuwaga na kisirani, hii picha imenipa majibu yote..!! 😹
Kuna walamba mavi wake amewamwaga mitandaoni kumpambania na shutuma za mawizi na uuaji wake !Rostam Aziz yupo jf
Lamomy kwaio sisi tunao ishi store umeamua kutuletea MADHARAU eeeeeeee 😁🤣😂Cum toilet, Cum pharmacy..!!
Nimechoka zaidi nilipoona kopo la rungu 😹
Baba yako na mama yako ni watu makini wameyasikiliza!Polepole ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa, kama Taifa na watu mnapoteza muda kumsikiliza basi wote wehu kama Polepole
Zitto Kabwe aliongea juzi kuwa Polepole anahitajj dawa za depression, leo ndio nimeamin baada ya kumsikiliza kwa kina Rostam Aziz.
😹😹😹 Huyo jamaa ana trauma ya maisha anayopitia that’s why nimemshauri apambanie reforms..!!Lamomy kwaio sisi tunao ishi store umeamua kutuletea MADHARAU eeeeeeee 😁🤣😂
Ila wewe ni mtu mbadiiii 🤓
Hawezi kwenda live, na nimesikiliza kidogo sijasikia baba yake alikuwa na biashara gani huko igunga ambazo amejinasibu ali take over na kuwa kubwa.Nikajua ni live kumbe ishafanyiwa editing
ndo naanza kusikiliza hapa mitaa ya youtubeHawezi kwenda live, na nimesikiliza kidogo sijasikia baba yake alikuwa na biashara gani huko igunga ambazo amejinasibu ali take over na kuwa kubwa.
Tumesikia hakina Bakhresa alipoanzia, Mengi, Dewji ila huyu ana historia?
Leta dondoo baada ya kumaliza mkuu maana nimesikiliza kidogo kwenye intro lakini sijasikia biashara ya wazazi wake zilikuwa wapi na aina gani?ndo naanza kusikiliza hapa mitaa ya youtube