Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

17570970538242634725534089374835.jpg
 
Naam wakuu

=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando
Hata anachoongea hakieleweki, yaani hana hoja kabisa
 
Naam wakuu

=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando
lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando🄺🄺🄺
 
Naam wakuu

=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando
Wameona wasiweke live ili akiharibu waweze ku edit.
 
Rostam anang’aa kama almasi Ila pesa bhn šŸ˜‚šŸ˜‚ ukiwa na kisokolokwinyo na roho za kichawi tulizobeba waTZ wengi huwezi fikia viwango Vya huyu jamaa.
Sisi waswahili tunang'aa kwa tuliyonayo hatuna shida na mtu hata kwa ugali tembele

Ila yeye kwa tabia zake za asili ya kupora kwa ulaini wa neno la ulaini la kibiashara 'kisekula' ni jambanoko mlafi

Ka
 
Back
Top Bottom