Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Mr mtandao anajitetea na ndicho walicho kusudia.
PXL_20250905_184749841.jpg
 
Ulitaka asijitetee,yaani abagazwe asijitetee!?..binafsi sina azam,muwe mnaweka updates
Nashukuru umenielewa
Na kulifahamu lengo la chombo cha habari husika.
Nashukuru bhana na yeye kwenye maoni yake anaona katiba ifanyiwe mabadiliko.

Ingawa anajiuma uma hapa.
 
Huyo Fisadi Nani amsikilize? Arudishe pesa zetu za madini! Polepole ndiye kiboko ya Wana Mtandao.
 
Polepole ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa, kama Taifa na watu mnapoteza muda kumsikiliza basi wote wehu kama Polepole

Zitto Kabwe aliongea juzi kuwa Polepole anahitajj dawa za depression, leo ndio nimeamin baada ya kumsikiliza kwa kina Rostam Aziz.
 
Naam wakuu

=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando
Mbona siri sana?
 
Back
Top Bottom