Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Mtandao wa magufuli 2015 siyo wa kikwete 2005 wala si wa mkapa 1995,sumaye, Salim walikua na mitandao yao 2005
Kama ni hivyo tukubaliane kwamba HP alikuwa anatupanga kwenye hili

Je kwa nia ipi?
 
Reactions: Lax
Kama ni hivyo tukubaliane kwamba HP alikuwa anatupanga kwenye hili

Je kwa nia ipi?
ni ya polepole SSH akae pembeni mkuu --- hili ndo analipigania kama unamskiliza kwa makini sana
 
Najiuliza nini maana ya mtandao?
Mtandao unahusiana na mambo gani? Na je kisheria na kikatiba ina ruhusiwa kuwepo na mtandao?
Kazi ya mtandao ni nini?
Ni maana ya kuwepo chama na kamati je wanafanyakazi si kwa umoja?
Nakama nikwa umoja kwa nini kuwepo na magroup?
Je nani ali asisi hayo mambo kwenye chama chao na serikali kuwepo na mtandao?
mzee wamonduli mbona anatajwa sana na RA kwa nini?
Uyu RA original yake ni wape ?maana anapo dai anatetea masirahi yetu je kizazi chake kiko hapa , kabila lake liko hapa? Maana sioni kama akiathirika na chochote?
Maswali nimengi nasijui majibu yake yako vip ila ina fikirisha sana...
 
ni ya polepole SSH akae pembeni mkuu --- hili ndo analipigania kama unamskiliza kwa makini sana
Dogo anatia huruma sana, ni project iliyoshindwa kabla ya kuanza. Eti mama usiende kuchukua fomu, ila kuna muda namuona kama dishi limeyumba
 
Nipoteze muda nikufungulie uzi wewe?
Sasa tupimane nini na picha ishajieleza 😹
Hapo ukute ni mganga njaa, hata mil 10 kama akiba huna ila umo kukosoa maisha ya watu kwa picha
 
ni ya polepole SSH akae pembeni mkuu --- hili ndo analipigania kama unamskiliza kwa makini sana
Akae pembeni kwa nini!?..vitu vingine ukifikiria unabaki kinywa wazi tu, yaani kisa wewe na wenzio hamumtaki basi akae pembeni!!
 
Reactions: Lax
rostam azizi umri umeenda acha kupaka pico
 
Dogo anatia huruma sana, ni project iliyoshindwa kabla ya kuanza. Eti mama usiende kuchukua fomu, ila kuna muda namuona kama dishi limeyumba
wote matapeli huko ccm
 
Akae pembeni kwa nini!?..vitu vingine ukifikiria unabaki kinywa wazi tu, yaani kisa wewe na wenzio hamumtaki basi akae pembeni!!
mabadiliko yatakuja kwa wepesi mama akiendelea kwa mitano mingine
 
Hapo ukute ni mganga njaa, hata mil 10 kama akiba huna ila umo kukosoa maisha ya watu kwa picha
Nasikia uvivu kukujibu mpeni mtoto dawa ya malaria kwanza..!!
 
Sasa hawa TCRA kuifungia JF wamesema kuwa ndugu Rostam Aziz hakupewa haki na uwanja mpana taarifa zake sahihi kuwepo JamiiForums. Huku ni kukurupuka kwa TCRA, social media news ni fluid na dynamic ona sasa uwanja aliopata Rostam Aziz na Mirambo Holdings kusomwa kwa upana na marefu.

Huu uzi si umetoa nafasi pana kwa ndugu Rostam Aziz kutiririka, na pia wadau wameongeza habari kibao chanya kuhusu nani ni nani ndani ya sekta ya makaa ya mawe na wamiliki wa makampuni mbalimbali ikiwemo kampuni ya Rostam Aziz.
 
Sema kiukwel kwa Biznes jamaa ni Mogul nchini

Halafu TCRA wanasema JamiiForums pia uzi huu na comments zote hazijamtendea haki Rostam Aziz na kampuni yake ya Mirambo Holdings, kampuni mama ya kundi la kampuni yake yote.
 
Take everything with a grain of salt toka kwa Polepole or Rostam. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Watanzania wana uelewa mdogo sana wa mambo ya madini na migodi. Kama upo kwenye hii sekta utaelewa nazungumzia nini. Juzi nimeona mtangazaji wa habari akimuuliza mchimbaji mdogo wa dhahabu anapata tani ngapi kwa mwaka? Really?

Wabongo wanajua kilimo small scale na uchuuzi tu sio madini or anything else. Biashara kubwa wameachia ngozi nyeupe wafanye. Kama mnaona nyie hamuwezi msidhani na wenzenu hawawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…