Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Tupo km mazombi sio watu wa kuwawajibisha viongozi..!!Kwanini useme sisi ndio Wenye matatizo ?
Mambo mengi yanatokea hatuwajibiki kila mmoja anajiangalia yeye..!!
Tumekuwa na maneno kuzidi hata hao wanasiasa wenyewe watu wanajimilikisha rasilimali wala hatuhoji ili mradi tupo tunasubiri kufa basi..!!