Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.

2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M

3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.

4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.

5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.

6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.

7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.

8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.

9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.

10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.

11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi serikalini na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.

"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"

Link Below

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c

Polepole anapanda Mbegu ya Uasi inaweza isimee leo lakini itamea.Ukiona chukizo la uharibu linashambulia patakatifu ujue ,patakatifu pameshatekwa kwahiyo mnapaswa kukimbilia mlimani.
 
Ni kubaliana na wewe, kwamba "patakatifu si patakatifu tena'.
 
Mona mlinzi alibadilishwa siyo yule? . My take!

Inaonekana siku hiyo ya tarehe 11 February 2021 JPM alifanya marathoni ya kutembelea viwanda kadhaa na stendi mjini Morogoro.

Ili kuendeleza utimamu wa mlinzi wa karibu kabisa (bodyguard) huenda wanabadilishwa wakitimiza masaa kadhaa.
 
Rostam Aziz imekuwa ni jina la kifisadi ambalo ndani yake wamo mafisadi wa kutosha sana! Mafisadi sasa wanajiunga na kutumia jina moja la kufanyia ufisadi.

Nchi nzima inaendeshwa na kundi la kifisadi. ndo maana tunaona mtuhumiwa ana ushujaa wa kujieleza na kupewa mwandishi amsaidie kujitetea.
 
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.

2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M

3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.

4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.

5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.

6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.

7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.

8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.

9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.

10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.

11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi serikalini na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.

"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"

Link Below

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c

Viongozi waislamu ni uchafu ni laana kwa taifa
 
Back
Top Bottom