G
guest-1790917349
Guest
Halafu SS nimeunga dots , kumbe ndo maana alisema ..niguse ninuke.....yamkini waliogopa ataongea ukweli huu ,wakamuondoa na yy🙌🤔Aisee
No way Mungu ingilia kati aisee
Halafu SS nimeunga dots , kumbe ndo maana alisema ..niguse ninuke.....yamkini waliogopa ataongea ukweli huu ,wakamuondoa na yy🙌🤔Aisee
Atafuata nae soonJe aliyemtuma Membe kumuua JPM ni nani ?.
sema hawalushi maji tu, wametulia kama hawaelewi.Km kawa gusa G-spot mzee wa Cuba
Chigoma.MSTAAFU WA CCM B? NANI? KIGOMA
Sijawahi ona nchi ikilia km mwaka huu hii ni hatari mpaka vijijini huko hawamkubaliaHalafu SS nimeunga dots , kumbe ndo maana alisema ..niguse ninuke.....yamkini waliogopa ataongea ukweli huu ,wakamuondoa na yy🙌🤔
No way Mungu ingilia kati aisee
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.
2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M
3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.
4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.
5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.
6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.
7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.
8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.
9. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.
10. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi wa serikali na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.
"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"
Link Below
View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c
Huyo jamaa muongo sana,huko Qatar kwenye gas nyingi mtungi wa 12kg ni zaidi ya tsh 10000, halafu Cuba iwe buku mbili!?1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.
2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M
3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.
4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.
5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.
6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.
7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.
8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.
9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.
10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.
11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi wa serikali na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.
"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"
Link Below
View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c
Kwahiyo hapo ndio unaona umeunga dots 😂😂Mkuu wewe mtaalamu sana hata Mimi niumnga dots, najiuliza ni Coincidence au maana aliyotaja Britannica ni sawa na Polepole
IrrelevantHivi wakati ameteuliwa na JPM ..Pole Pole alikua anatumia bajaji?
Hivi mwaka 2019 Pole Pole alikua wapi wakati uchaguzi wa serikali za mitaa?
kwani kipindi cha utawala wa baba yenu mtungi wa gesi ulikuwa unauzwa jero au 300?. Since huyo jamaa anamkingia kifua jiwe anabaki kuwa ni mpumbavu tu.Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.
Povu ruksa ----- lakini ukweli mchungu..kwani kipindi cha utawala wa baba yenu mtungi wa gesi ulikuwa unauza jero au 300?. Since huyo jamaa anamkingia kifua jiwe anabaki kuwa ni mpumbavu tu.
hakuna cha kukumbukwa naye ni takataka tu kama wengineAlisema MTANIKUMBUKA !!!