Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Polepole anasema tunashinda. how ? tunashinda kwa kuongea hiv na kwenda kulala? Watu waaache kujifariji kwa kusubiroa miujiza hakuna mabadiliko ys hivyo zaid kupoteza muda tu
 
umeme wako mdg kichwani

amekupa polepole una bisha unataka akupe nani rostam ama

nenda katafute mtandaoni, unapenda kuambiwa ambiwa vitu ambavyo unaweza fahamu si mtandaoni vipo

tafuta gas ya kupikia sio gas (mafuta ya petrol)
Nashangaa jmn mtu ht ku Google tu hawezi? Khaaa
 
Polepole anasema tunashinda. how ? tunashinda kwa kuongea hiv na kwenda kulala? Watu waaache kujifariji kwa kusubiroa miujiza hakuna mabadiliko ys hivyo zaid kupoteza muda tu
We Utajuaje Kwann anasema hivyo?
Hii nchi Ina mengi bwana

Hii nchi hii 🙌 🙌 mmh
 
Aiseee Ubarikiwe sana Mh Polepole.

Kumbe Wanamtandao, wanaweza Kujenga Mradi wowote Mkubwa ule, wakipigia hesabu Atakayekua Kuuzindua .


Mazingira yatatengenezwa ya Kumuondoa .


Ina onekana katika kuzindua Viwanda hivo, Magufuli alipitishwa kwenye sehem zilizoandaliwa kuyaondoa Maisha yake !!.
 
Dah..!! Hii ni hatari kwahiyo waliweka poda au gesi?
 
Aiseee Ubarikiwe sana Mh Polepole.

Kumbe Wanamtandao, wanaweza Kujenga Mradi wowote Mkubwa ule, wakipigia hesabu Atakayekua Kuuzindua .


Mazingira yatatengenezwa ya Kumuondoa .


Ina onekana katika kuzindua Viwanda hivo, Magufuli alipitishwa kwenye sehem zilizoandaliwa kuyaondoa Maisha yake !!.
Siyo rahisi hivyo kumuua Raisi, story ni ndefu sana na inatisha
 
Je alichosema Slow slow ni ukweli au uongo ? Kwanini ameamua kusema Sasa hivi ?...kama ni kweli, je vyombo' vya usalama havikujua hili?...vilishindwa kuzuia ?...Kama ni uongo je lengo la Slow slow kusema hayo ni lipi?, Je ametumwa ?...kama katumwa je ni kina nani wamemtuma?...na kwa malengo gani?...maswali mengi sana hapa...

Anyway wote Membe na JPM hawapo tena..

Pascal Mayalla JokaKuu zitto junior Nguruvi3
maswali yako ni rahisi sana

polepole ana sema amewahi mwambia mkubwa wa chombo cha ulinzi je alichukua hatua

baada ya haya yanayo semwa je kuna chombo umeskia ama unahisi kinaweza fanya uchunguzi wa haya

mama anaye ambatana na raisi katajwa kwenye kashfa vyombo viko wapi
 
HP leo kapiga kwenye mshono..!!
Ila watanzania kabla ya kudai reforms, hebu tuanzeni kwetu binafsi kufanya settings za akili zetu hatuko sawa..!!

Sisi ndo wenye matatizo sio wanaotuongoza.!!
VERY TRUE
 
Ndio maana tunasema hakuna kigeni NI hadithi zilezile tu.

Safarini Hodeidah Yemen
Hadithi nzuri sana basi kama watanzania wamejua kua nchi yao Kuna WEZI na mafisadi na wanaibaje...hizo hadithi ziendelee nadhan Kuna mahala hivi mtu atapata mshtuko
 
Back
Top Bottom