Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Povu ruksa ----- lakini ukweli mchungu..
itasaidia nini?, yule alitaka kumuua masihi wa Tanganyika kwa risasi huyu anataka kumfanya aozee jela au apigwe kamba shingoni. Porojopole anajisumbua tu tabu iko palepale al-muhim taifa libaki katika utulivu na Amani
 
Kama jambo sio msaada kwako ni msaada kwa mwingine ---- usiforce tufanane.

Utulivu na Amani ndiyo kichaka cha mafisadi wanachotumia kujilimbikizia mali za umma ----- Tanzania hakuna kitu utulivu na amani.

Hiyo ni lugha ya picha tulioaminishwa hivyo ---- lakini behind the scenes, script ni tofauti kabisa.
 
fisadi namba 1 ni huyo porojopole
 
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA , KWA MDA WA MIAKA MITATU YA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASAN.

Ndgu, wanafamilia ,watanzania wenzangu huyu mpuzi Ndu Humphrey polepole apuzwe NIMUHUNI ANATAKA KUNDANYA UMMA . mifano anayoitumiaa sio kweli niuongo leo ameeleza swala la Elim , elimu yetu inazidi kuendelea kwa Miaka Mitatu ya RAIS DKT SAMIA SULUHU HASAN Ameendeleza kuweka ongezeko la bajeti ya sekta ya elimu data zina jielezaa kuanzia shule ya msingi, secondary,diploma na degree.HAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamia
 
Attachments

  • Screenshot_20250830-001513_Instagram.jpg
    Screenshot_20250830-001513_Instagram.jpg
    56.1 KB · Views: 27
  • Screenshot_20250829-234726_Instagram.jpg
    Screenshot_20250829-234726_Instagram.jpg
    81 KB · Views: 25
itasaidia nini?, yule alitaka kumuua masihi wa Tanganyika kwa risasi huyu anataka kumfanya aozee jela au apigwe kamba shingoni. Porojopole anajisumbua tu tabu iko palepale al-muhim taifa libaki katika utulivu na Amani
Unazo za kutosha kuvuka barabara?
Unazungumzia taifa gani lililo na utulivu na amani?

Subiri mambo yatakapo wageukia na kuwagusa wenyewe mnaodhani "amani" ni yenu pekee.
 
Back
Top Bottom