Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Umeandika upuuzi mtupu. Does it means that is the only your brain is capable of?
Kwa kuwa haujui kinachoendelea ndani ya CCM una haki ya kusema hivyo

You are just genuinely too stupid to grasp what I'm saying
 
Kwa kuwa umesema wewendio iwe uongo?
Kwa sababu ya ufinyu wa upeo kwako mantiki pekee ya kuona ukweli ni huo uwingi wa gesi tu huko Qatar. Umetafuta ushahidi usiokuwa na mashaka kuonyesha kuwa Cuba gesi haiwezi kuuzwa bei hiyo; kwa vile Qatar ndio kigezo cha nchi nyingine duniani?

Kwa vile wewe akili yako imetekwa na hao waarabu, sasa waeleze waTanzania kuhusu Gesi ya Ntorya, Mtwara, waarabu wa Omani walipewa kwa makubaliano yapi!
Ukilieleza hili vizuri nitaanza kukuheshimu.
Usijisumbue kumjibu huyu au hawa wa aina hii. Wamemwagwa wengi sana kupambana humu na mitandao mingine. Wako kazini kupinga pinga na kutwist stories, huku wakilipwa hela za kipumbavu, familia zao zikibaki duni na mafisadi wakizidi kuneemeka. Na liJF lao limekuwa compromised! Basi ali mradi tuko kwenye shida, ila mwisho wa haya upo na hautakuwa mzuri kwa kila anayeshiriki.
 
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.

2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M

3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.

4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.

5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.

6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.

7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.

8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.

9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.

10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.

11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi serikalini na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.

"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"

Link Below

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c

Pili, ana uhusiano wa karibu na Rais wa Sasa Mh Samiah Suluhu. Yani mtuhumiwa wa ufisadi serikalini anakuwa na ukaribu na Rais wa nchi hii ni hatari. Kwenye kuchukua fomu za urais alikuwepo mbele kabisa na kwenye kampeni za urais yupo mbele kabisa. Hii Inaleta maswali je Rais anufaiki na ufisadi huo?
 
Kama wanamtandao wanaweza kuratibu kifo cha sitting president, hii ni hatari fire
Magufuli had only two options kwenye Urais wake , either akubaliane na mfumo wa kifisadi uliokuwepo kabla au asikubaliane nao jambo ambalo limeongeza maadui !

Maadui wa Magufuli ni Watangulizi wake wakiwemo maRais wastaafu na viongozi ambao walikuwa wanufaika wakubwa wa mfumo wa kifisadi, maadui wengine ni wafanyabiashara wakubwa wenye ushawishi mkubwa kwenye nchi.

Maadui wa Magufuli ndio hao waasisi na walio na uzoefu na ushawishi katika vyombo vya usalama ikiwemo Jeshi na polisi ambalo Magufuli analitegemea bila kujua humo ndani kuna watu wanatumika na kufuata maagizo ya watangulizi.

Kwa kifupi Magufuli alikosa walinzi ambao wasioweza kuwa manipulated, mwisho wa siku maadui wamemkaribia na kufanya yao kirahisi.
 
Hatari sana
Magufuli had only two options kwenye Urais wake , either akubaliane na mfumo wa kifisadi uliokuwepo kabla au asikubaliane nao jambo ambalo limeongeza maadui !

Maadui wa Magufuli ni Watangulizi wake wakiwemo maRais wastaafu na viongozi ambao walikuwa wanufaika wakubwa wa mfumo wa kifisadi, maadui wengine ni wafanyabiashara wakubwa wenye ushawishi mkubwa kwenye nchi.

Maadui wa Magufuli ndio hao waasisi na walio na uzoefu na ushawishi katika vyombo vya usalama ikiwemo Jeshi na polisi ambalo Magufuli analitegemea bila kujua humo ndani kuna watu wanatumika na kufuata maagizo ya watangulizi.
 
Kabisa. Huyu sasa namvulia kofia. Utawala huu kupata mtu bado anasimamia misingi waziwazi, ni ajabu sana.
Kwa kuona kua serikali inayumba alna kwakua anaijua angeweza kuona kama ni nafasi ya hata na yeye kupiga hela ila kaamua kuacha yote kutetea maslai ya wananchi. Nampa pongezi kubwa sana na namuombea uzima aendelee kutuwekea mambo sawa
 
Kwa kuwa umesema wewendio iwe uongo?
Kwa sababu ya ufinyu wa upeo kwako mantiki pekee ya kuona ukweli ni huo uwingi wa gesi tu huko Qatar. Umetafuta ushahidi usiokuwa na mashaka kuonyesha kuwa Cuba gesi haiwezi kuuzwa bei hiyo; kwa vile Qatar ndio kigezo cha nchi nyingine duniani?

Kwa vile wewe akili yako imetekwa na hao waarabu, sasa waeleze waTanzania kuhusu Gesi ya Ntorya, Mtwara, waarabu wa Omani walipewa kwa makubaliano yapi!
Ukilieleza hili vizuri nitaanza kukuheshimu.
Haihitaji akili kubwa kama yako kujua kuwa ni uwongo mtungi wa gesi wa 20kg kuuzwa buku mbili, maana hata gharama za utayarishaji hiyo gas zinazidi buku mbili
Gas ya mtwara we umemuona mwarabu tu ndiyo aliyepewa, wazungu huwaoni kwa kuwa una shida ya colour blindness
 
Ile gesi ya Mtwara ni tofauti na hii ya kwenye mitungi mkuu, ya kwenye mitungi haizalishwi hapa Tanzania
 
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.

2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M

3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.

4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.

5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.

6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.

7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.

8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.

9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.

10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.

11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi serikalini na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.

"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"

Link Below

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c

Angela kiziga, Rostam Aziz kwa sasa ndiyo mchwa wa kutafuna Rasilimali za Nchi kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom