Polepole ana episode nyingi sana anaendelea kutoa kidogo kidogo hataki kumaliza zoteKaeni kwa kutulia, dozi kamili bado!
Polepole ana episode nyingi sana anaendelea kutoa kidogo kidogo hataki kumaliza zoteKaeni kwa kutulia, dozi kamili bado!
MsomaliMSTAAFU WA CCM B? NANI? KIGOMA
Wewe ndiyo unaumwa kichaa unawezaje kuona ugonjwa wa polepole wakati huna ubongo kichwani umejaa kamasi debe mbili na kuwaza posho toka kwa Rostam Aziz na Angela kiziga wezi majambazi wa Rasilimali za NchiPolepole anaumwa anayebisha amwangalie kichwani kanyoa lakini ana mabaki ya madonda kibao ya ukimwi
KumbeUkishajua mshahara wa Daktari wa Cuba naamini hautashangaa gas kua buku bee
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.
2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M
3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.
4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.
5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.
6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.
7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.
8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.
9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.
10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.
11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi serikalini na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.
"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"
Link Below
View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c
Chalamila anaishi masaki na huko Oyestarbay masaki ndipo magari hutembea bila namba au Namba Bandia za kupachika tu kienyeji kwa kifupi mtaani kwake ndipo kuna viojaDuh kwa kweli leo nimejikuta natumia saa 1 nzima kabisa kumsikiliza Polepole, na wala sikuona sehemu ambayo ambayo naweza kuruka ama kusogeza mbele kwa maana zote ni point. Kwenye upigaji wa kura kila nikikumbuka maneno ya Prof. Assad, basi huwa sina cha kuongeza.
Ila hii nchi ni tajiri na inaliwa sana, RC wa DSM mwenyewe alishangaa hivi karibuni kuhusu Yard za magari kwenye mkoa wake, na magari ya usiku maeneo ya Masaki, Polepole amemsaidia kufungua code, though kwa sasa usikute amekwisha kabidhiwa Yard yake binafsi yenye magari ili awe mpole ama hata mjengo wa Ghorofa sehemu. Maana siamini kama RC huyu ni yuleyule wa enzi zile Mbeya, aliyetoa hotuba mbele ya JPM, kuhusu utoshelevu wa msharahara kwa kiwango cha hata kukaa na mchepuko. Mwenyezi Mungu atusaidie
Rostom Aziz na Genge lake ndiyo wameinunua Nchi ni mali yakeKwa haya anayo yasema pole pole nashawishika kusema kwamba -- Nchi yetu Haina usalama wa Taifa
Yaweza kuwa tumeuzwa tayari lakini tulivyo kuwa wajinga hatutambui kuwa tumeuzwa
Relevantly spokenIrrelevant
Polepole ana episode nyingi sana anaendelea kutoa kidogo kidogo hataki kumaliza zote
Not really sababu unadhani walijuaje kwamba angeshika sampo ya ngozi wamtegeshee? It's impossible to predict hapo. Labda ungeniambia pale kwenye Mike wkt anahutubia... Angalia pia facial exprexn ya ni kama hakua na amani hiviHapo aliposhka ngozi ndipo alijimaliza