Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Hapa kiwandani ukitoa magufuri wangapi wamekufa !? Maana naona walikuwa wengi humo ndani! Au Kuna sehemu magu aliingia peke yake!?
Auu walimtupia jini🤣🤣
Hata mimi baada ya kuja mbio mbio kuangalia hii clip nimejiridhisha kwamba kwa hapo HP hakua sahii. Sijaona mazingira yeyote tatanishi kwa kweli.
 
Not really sababu unadhani walijuaje kwamba angeshika sampo ya ngozi wamtegeshee? It's impossible to predict hapo. Labda ungeniambia pale kwenye Mike wkt anahutubia... Angalia pia facial exprexn ya ni kama hakua na amani hivi
All is possible
 
Kwa hiyo usalama wa taifa walihusika kifo cha Magufuli? wao ndio walinzi wa Rais.
 
Gas ya mtwara we umemuona mwarabu tu ndiyo aliyepewa, wazungu huwaoni kwa kuwa una shida ya colour blindness
Nimewasema hao waarabu, kwa maana ndio ninao wajuwa.
Kama wewe unawajuwa wazungu; sema; na bila shaka nitakuunga mkono kwa hoja zako hizo kuhusu wazungu wanaogawiwa raslimali za waTanzania kinyemela bila kujuwa kinachotokana na mali hiyo.

Nieleze hili la gesi ya Ntorya, waoman walipewa kwa makubaliano gani; hilo ndilo swali langu.
 
Usijisumbue kumjibu huyu au hawa wa aina hii. Wamemwagwa wengi sana kupambana humu na mitandao mingine. Wako kazini kupinga pinga na kutwist stories, huku wakilipwa hela za kipumbavu, familia zao zikibaki duni na mafisadi wakizidi kuneemeka. Na liJF lao limekuwa compromised! Basi ali mradi tuko kwenye shida, ila mwisho wa haya upo na hautakuwa mzuri kwa kila anayeshiriki.
Hili kundi la waajiriwa nalifahamu vizuri sana. Ninayo orodha yote ya wahuni hawa ndio maana huwa siwapi nafasi ya kutamba humu kwa taarifa zao za upotoshaji..

Kuwanyamazia ni sawa na kukubali upotoshaji wao.
Ni lazima kupambana nao tu, huku tukiendelea kupambana na hao wafadhili wao wanaowaleta hapa JF kuvuruga mijadala.
 
Nimewasema hao waarabu, kwa maana ndio ninao wajuwa.
Kama wewe unawajuwa wazungu; sema; na bila shaka nitakuunga mkono kwa hoja zako hizo kuhusu wazungu wanaogawiwa raslimali za waTanzania kinyemela bila kujuwa kinachotokana na mali hiyo.

Nieleze hili la gesi ya Ntorya, waoman walipewa kwa makubaliano gani; hilo ndilo swali langu.
Nieleze kwanza gas ya mtwara wazungu walipewa kwa makubaliano gani
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-30-18-12-58-627.jpg
    Screenshot_2025-08-30-18-12-58-627.jpg
    378.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_2025-08-30-18-12-15-503.jpg
    Screenshot_2025-08-30-18-12-15-503.jpg
    357.6 KB · Views: 22
  • Screenshot_2025-08-30-18-08-58-781.jpg
    Screenshot_2025-08-30-18-08-58-781.jpg
    498.7 KB · Views: 17
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.

2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote ya kifo cha marehemu J.P.M

3. Pia amegusia maadui wakubwa wa Marehemu Raisi John Pombe Magufuli na namna ambavyo Raisi Mstaafu J.M.Kikwete alivyokuwa akimfanyia figisu wakati wa utawala wake na kusema pia kulikuwa na mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho dhidi ya Marehemu J.P.M.

4. Pia amelezea namna Angela Kiziga kupitia tenda ya ku-supply uniform za jeshi alivyopagaza pesa za serikali na ukaribu wake na Raisi Samia.

5. Pia amelezea Rostam Aziz anavyohujumu uchumi wa nchi kupitia kampuni yake ya Taifa Gesi na kuiteka serikali. Huku akisema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS na Tanzania tunauziwa 56,000/=TZS.

6. Pia amesema CUBA huduma za kijamii kama elimu na matibabu ni bure kwa raia wake.

7. Pia amegusia namna ambavyo mafisadi wanatakatisha fedha za umma na kununua magari ya gharama za juu na kujenga majumba ya kifahari (penthouse) masaki na magorofa k/koo.

8. Pia amegusia ufanisi wa serikali, uwajibikaji wa watumishi na viongozi serikalini na kusema kwa sasa ni sifuri.

9. Amegusia pesa za Corona zilizotafunwa mwaka 2021 ambazo ni Tril. 1.3 kwa kufanya duplication yaani kwa matumizi yale yale ambayo tayari yalikuwa yameshapangiwa budget na serikali.

10. Amesisitiza kwa nini miradi mingi ya Serikali imesimama huku fedha zikiwa tayari zimeshakopwa na kodi kila siku zinakusanywa. Huku akisisitiza Grid ya Taifa ya maji ilitakiwa kukamilika ndani ya miaka 5 ya Raisi Samia kama ilani ya CCM inavyoelekeza lakini mpaka sasa ni sifuri.

11. Pia ameshangaa kuona kampeni za mgombea wa CCM -- kutokusikika kwa kauli za kupiga vita ufisadi, kupiga vita rushwa, kutetea haki za wanyonge, kuboresha ufanisi serikalini na kusema huu si uchaguzi bali ni kiini macho.

"Ukombozi huanza akilini." ----------- Next Press --> "Deni La Taifa"

Link Below

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wf-eovLnI7c

Ana hoja zenye mashiko sana.
Kale kazee ka msoga utasikia kanasema haya maendeleo. Sijui anasema tumbo lake.
 
Wewe ndiye uendelezaye upumbavu,unahoji kwa nini mwarabu apewe lakini huhoji kwa nini mzungu kapewa!!
Mtanyooka tu, mbona bado
Nikikwambia wewe ni mpumbavu usifikiri nakuonea. Nionyeshe nilipo acha kuhoji "mzungu kupewa"?
Unapokuwa na ufinyu wa kuelewa kilicho andikwa huko ndiko upumbavu unako anzia.
 
Nikikwambia wewe ni mpumbavu usifikiri nakuonea. Nionyeshe nilipo acha kuhoji "mzungu kupewa"?
Unapokuwa na ufinyu wa kuelewa kilicho andikwa huko ndiko upumbavu unako anzia.
Sasa kwa nini mwarabu asipewe?..ulitaka apewe nani na kwa makubaliano yapi?.. mwarabu kapewa kwa makubaliano yapi ambayo wewe huyataki?..au unataka apewe kwa makubaliano yapi?..tenda ilipotangazwa ulipeleka kampuni yako yenye makubaliano unayoyakubali?..
 
Unazungusha maneno ya kipumbavu tu yasiyo kuwa na maana. Eleza makubaliano yaliyo fikiwa kwa waOmani kupewa gesi ya Ntorya Mtwara. Kuna lipi hapo usilo elewa..

Ya wazungu tunayajuwa miaka yote na kuyapinga; lakini haya ya waarabu siku hizi yanaingizwa kinyemela bila taarifa zozote za awali; kama kule kuuzwa bandari zetu kwa DP World, kimyakimya hadi dakika za mwisho na kuburuzwa Bungeni.

Kuna siku yote haya mtayatapika tu.
 
Unazungusha maneno ya kipumbavu tu yasiyo kuwa na maana. Eleza makubaliano yaliyo fikiwa kwa waOmani kupewa gesi ya Ntorya Mtwara. Kuna lipi hapo usilo elewa..
Eleza wewe uliyekereka, mimi sijui makubaliano yaliyofikiwa kwenye uwekezaji wowote,iwe buzwagi,geita gold,lusu,kahama mining,north mara,mirerani,ruvuma uranium, mtwara gas,lindi gas,mnazi bay,songas....wewe uliyekereka ndiyo ueleze
 
Ungesema hujui tokea mwanzo nisinge hangaika na upumbavu wako huu. Sasa unaona uhalali wa kukuita wewe ni mpumbavu?
Ni kipi kilicho kuzuia kusema hujui tokea mwanzo.
 
Back
Top Bottom