Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

Huyo jamaa muongo sana,huko Qatar kwenye gas nyingi mtungi wa 12kg ni zaidi ya tsh 10000, halafu Cuba iwe buku mbili!?
Kwa kuwa umesema wewendio iwe uongo?
Kwa sababu ya ufinyu wa upeo kwako mantiki pekee ya kuona ukweli ni huo uwingi wa gesi tu huko Qatar. Umetafuta ushahidi usiokuwa na mashaka kuonyesha kuwa Cuba gesi haiwezi kuuzwa bei hiyo; kwa vile Qatar ndio kigezo cha nchi nyingine duniani?

Kwa vile wewe akili yako imetekwa na hao waarabu, sasa waeleze waTanzania kuhusu Gesi ya Ntorya, Mtwara, waarabu wa Omani walipewa kwa makubaliano yapi!
Ukilieleza hili vizuri nitaanza kukuheshimu.
 
Kwa kuwa umesema wewendio iwe uongo?
Kwa sababu ya ufinyu wa upeo kwako mantiki pekee ya kuona ukweli ni huo uwingi wa gesi tu huko Qatar. Umetafuta ushahidi usiokuwa na mashaka kuonyesha kuwa Cuba gesi haiwezi kuuzwa bei hiyo; kwa vile Qatar ndio kigezo cha nchi nyingine duniani?
Bwawa la Nyerere kuanza kazi mbona bei za umeme hazishuki!!
 
Polepole anasema tunashinda. how ? tunashinda kwa kuongea hiv na kwenda kulala? Watu waaache kujifariji kwa kusubiroa miujiza hakuna mabadiliko ys hivyo zaid kupoteza muda tu
Wewe huamini? kaa pembeni ushuhudie ushindi unavyo patikana; siyo kwa ratiba na mbinu unazotaka wewe.
 
Ingawa ilikuwa inasema ametangulizwa ila wengi wetu tulikuwa tunahisi ni habari za kusadikika haya mambo yanaelekea kubaya na kuna mtu au watu watakuja kuumia kuhusu hili.
Huyo daktari siku hizi sitaki ata kusikia ujinga wake muuaji mkubwa huyo
 
Vyama vya upinzani vilivyoingia kwenye uchaguzi vingekuwa na nia ya kweli wangetumia hoja za polepole kwa mpinzani wao CCM, ila wamekuwa mabubu.
 
Akasema Elimu na Afya. Na gesi mtungi buku 2. Umeme hajasema
Screenshot_20250830-071044.jpg


Screenshot_20250830-071019.jpg


Mleta uzi kaedit baada ya kuona alichosema Polepole si cha kweli

Mwanzoni kabla ya kuedit aliandika Cuba wanapewa huduma ya umeme bure

Sijui kwa nini Watanzania ni wasahaulifu haraka huyu Polepole kipindi cha dikteta ni miongoni mwa waliojiona miungu watu kmmmk
 
"Mnaijua VIEITEE nyieeee? Viongozi wote wa CCM tunapanda na kuendesha VIEITEE."

– Humphrey Polepole (2019)​
 
Wabongo ni wasahaulifu sana sijui kwa nini wanampa sifa huyu Polepole!

Kipindi cha dikteta alikula sana keki ya taifa leo anajifanya yuko na wananchi. Huwezi kumpaka rangi Donkey awe Zebra

Ukuma ni mwingi sana hii nchi
 
View attachment 3458303

View attachment 3458304

Mleta uzi kaedit baads ya kuona akichosema Polepole si cha kweli

Mwanzoni kabla ya kuedit aliandika Cuba wanapewa huduma ya umeme bure

Siui kwa nini Watanzania ni wasahaulifu haraka huyu Polepole kipindi cha dikteta ni miongoni mwa waliojiona miungu watu kmmmk
Uko sahihi.
Huyu jamaa ni kosa kumfuata kama yeye maana ukiacha uongo uongo anawajibika na Kila kilichotokea akiwa Mwenezi. Wakati wote akiwa na Magu haya yote anayoyapinga yalikuwepo ikiwemo utekaji.

Kikubwa ni kufanya fact check katika hoja zake, ili kama Kuna jema la KUJIFUNZA tujifunze na pumba tumuachie. Lakini ni kumuangalia KWA makini maana Wenda Kuna jambo lake baada ya HIKI anachofanya.

Kikubwa asituburuze tumsikilize kiuchambuzi sio kioholela.
 
Lakini ni kumuangalia KWA makini maana Wenda Kuna jambo lake baada ya HIKI anachofanya.
Huyu Polepole mpaka sasa hivi bado ni mwanachama wa CCM

Yeye ana jambo lake analipambania na anaungwa mkono na baadhi ya wana CCM ambao chinichini hawako upande wa mama Abdul

Tangu ameanza kutapika ujinga wake amegusia kutomkubali mama ndani ya CCM lakini hajawahi kusema CCM itoke madarakani

Wana CHADEMA wanaacha kusikiliza raisi wao Heche wako busy na video za Polepole. Ni kwa sababu wanapenda umbea na porojo kuliko facts

CCM haitoki madarakani kwa akili hizi
 
Mungu anatupenda sana. Imagine yote haya yanatoka hadharani sasa. Hivi walijua yote waliyoyafanya na wanayoendelea kuyafanya yangebaki siri? Hivi walijua wakimfunga tu Lissu basi hakuna kitachotoka hadharani.

Wallah Polepole ni bonge moja la mzalendo. Kwa hapa nimemvulia kofia na kuona alichokiona Magufuli kwa hawa watu aliowaweka karibu. Na huyo Magufuli tulimkosea sana sana, na kweli tunajuta na kumkumbuka kwa wema. Ila JK na genge lake, wajue siku zote ufisadi na udhalimu hauna mwisho mwema. Tuko hapa duniani pia kama mashahidi wa kila mmoja kwa mwenzako. Kwa haya wanayotutendea, ipo siku yataisha.
 
Huyu Polepole mpaka sasa hivi bado ni mwanachama wa CCM

Yeye ana jambo lake analipambania na anaungwa mkono na baadhi ya wana CCM ambao chinichini hawako upande wa mama Abdul

Tangu ameanza kutapika ujinga wake amegusia kutomkubali mama ndani ya CCM lakini hajawahi kusema CCM itoke madarakani

Wana CHADEMA wanaacha kusikiliza raisi wao Heche wako busy na video za Polepole. Ni kwa sababu wanapenda umbea na porojo kuliko facts

CCM haitoka madarakani kwa akili hizi


Umeandika upuuzi mtupu. Does it means that is the only your brain is capable of?
 
Back
Top Bottom