johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nami niongezeee hapa yeye amebandika kama msemaji wa serikali au wa chama?Wewe hapa huu utumbo umeandika kwa niaba ya nani?
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nasikia yuko Njombe analima lile zao wanaloliita dhahabu ya nchi kavuHivi makamu mwenyekiti wa ccm yuko wapi? sijamsikia toka mumemkosakosa kwa sumu dodoma