Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho.

Na kwamba kwa sasa Msemaji wa Chadema ni nani? J J Mnyika, Makene su Tundu Lisu au yoyote tu ansruhusiwa kuongea chochote?

Nawatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi makamu mwenyekiti wa ccm yuko wapi? sijamsikia toka mumemkosakosa kwa sumu Dodoma
 
Wewe ulitakaje? Unaumia nini? Iwe kwa niaba ya chama au binafsi unataka ujue iweje
 
Ufipa ikirindima kutokea Ubelgiji

Hawa jamaa Ni hatari kwa uchumi wa nchi yetu watu wamesha washtukia mwaka Jana hawakuamini alipata amna
 
Hivi makamu mwenyekiti wa ccm yuko wapi? sijamsikia toka mumemkosakosa kwa sumu dodoma
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nasikia yuko Njombe analima lile zao wanaloliita dhahabu ya nchi kavu
 
Hiki kitu kinanichanganya Sana, lissu anatakiwa ku-behave Kama presid material Ila ndio hivyo chadema hatunaga bahati ya wagombea uraisi maana ikishapita tu kampeni wote wanakengeuka
 
Back
Top Bottom