Mazuri ya Magufuli ya kuendelezwa...

Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ...

Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa yaendelezwe. ...
Mazuri yapi hayo?
 
Mtu alikuekua anabariki kujalibu au kuthubutu kunyofoa roho za watu unaowaongo heti kwasababu tu hataki kukosolewa anapoteza,moja kwa moja amefuta hatakama kuna mazuri kiasi kayafanya.

Mambo yaliyofanyika kipindi cha magufuri wako ungefanyiwa wewe au mjomba wako,mdogo wako au kaka yako,usingeleta uzi wa kumsifia hapa.

WATANZANIA WA AINA YAKO MSIWE WAVIVU KUVISHUGHURISHA VICHWA VYENU KTK KUFIKILI.
 
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ...

Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa yaendelezwe...
Laiti kama Yale ambayo sio mazuri yasingekuwepo kama watu kupigwa risasi.

Na kupotea ..na watu kulazimishwa kumsifia...basi wengi walio mpinga wasingempinga...

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ...

Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa yaendelezwe....
Kwanza Yaorodheshwe MAZURI na MABAYA YAKE Wananchi TUYAJUE
 
Hizo flyover na interchange ni Grant kutoka kwa serikali ya Japan. Hatutoi hata senti. Ziko 6 jumla na mkataba walishaini na serikali tangu JK hajaondoka.

Viwanda hivyo propaganda

Hakuna kitu, huyo aliyesema A hawezi kukuonesha miundombinu ya maana
Mkuu uwe na shukrani japo kidogo punguza hiyo tabia ya kuona mabaya tu. Mishahara hewa na pesa kwenda hazina unasema hakuna alichofanya?.

Terminal iliyokuwa ichelewe kumalizika, na yeye akaivalia njuga mpaka ikafunguliwa, unasema hakuna alichokifanya?.

Ndege nane zilizotua pale kipawa unasema hakuna kitu?. Duh mtanzania halisi katika ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…