Mkuu uwe na shukrani japo kidogo punguza hiyo tabia ya kuona mabaya tu. Mishahara hewa na pesa kwenda hazina unasema hakuna alichofanya?.
Terminal iliyokuwa ichelewe kumalizika, na yeye akaivalia njuga mpaka ikafunguliwa, unasema hakuna alichokifanya?.
Ndege nane zilizotua pale kipawa unasema hakuna kitu?. Duh mtanzania halisi katika ubora wake.