Mazuri ya Magufuli ya kuendelezwa...

Mazuri ya Magufuli ya kuendelezwa...

Tunaenzi mazuri..jamaa alikua na udhubutu sana na hakutaka kuyumbishwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu uwe na shukrani japo kidogo punguza hiyo tabia ya kuona mabaya tu. Mishahara hewa na pesa kwenda hazina unasema hakuna alichofanya?.

Terminal iliyokuwa ichelewe kumalizika, na yeye akaivalia njuga mpaka ikafunguliwa, unasema hakuna alichokifanya?.

Ndege nane zilizotua pale kipawa unasema hakuna kitu?. Duh mtanzania halisi katika ubora wake.
Halafu akashindwa kupandisha madaraja, Kuongeza mishahara, Kikokotoo kipya kubana mafao. kanunua ndege lakini hakuna mpango kazi, matokeo yake ni hasara ripoti zikitoka . Kakopa peke yake zaidi ya tril 20 na miaka 6 hakuna mradi alioanzisha uliokamilika. Sasa nimsifie kwa lipi Mkuu?
 
Back
Top Bottom