sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ndani ya muda mfupi kabisa gharama za internet zimepanda mara 2.7 yani tatu kasoro.
Ni mwaka jana tu hapo kabla ya mabadiliko machunu ya vifurushi tulikuwa tunaweza kununua mb moja kwa senti 65 (shilingi 0.65) lakini sasa ni takribani shilingi 1.8.
Hii elfu 2 tunayotumia kwa sasa kununua gb 1 ilikuwa inatosha kununua gb 3.
nchi yetu ilisifika kwa kuwa na gharama nafuu katika ukanda huu lakini kwa haya mabadiliko hata Kenya na Zambia wametuidi.