MB Dogg vs Z. Anto

kibla matata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
412
Reaction score
380
Leo tuwapambanishe manguli wawili wa Bongo Flavour, hawa ni wasanii ambao walibadilisha muziki wa bongo kuwa R&B halisi miaka ya 2003 & 2004 vilitoka vibao viwili vilivyosumbua sana cha kwanza Z. Anto ni Binti Kiziwi, cha pili ni Latifa kutoka kwa MB Dog

Z. Anto
--binti kiziwi
--mpenzi jini
-kisiwa cha malavi Davi
MB Dog
_latifa
_mapenzi kitu gani
_si uliniambia

Unadhani nani alitisha zaidi
 
Samahani wakuu naomba kuuliza eti mb doggy na sogy doggy ni ndugu wa kuzaliwa pamoja
 
Acha kumfananisha Mb Doggy na Z. Anto.

Mb Doggy ana HITS nyingi sana kuliko Z. Anto.

( Sidhani kama mtu hajawahi kutumia ngoma zake kama Dedication kwenye mapenzi ).

Mb Doggy Pia amewahi kuwa kwenye PEAK kama ilivyo kwa Juma Nature, AliKiba au Diamond wakati Z. Anto Hajawahi.

Binafsi Ngoma za Z. Anto ninazozikubali ni Kisiwa Cha MalaviDavi, Mpenzi Jini, Binti Kiziwi na Disco Vumbi wakati kwa Mb Doggy HITS zake utachoka kuhesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…