kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
Leo tuwapambanishe manguli wawili wa Bongo Flavour, hawa ni wasanii ambao walibadilisha muziki wa bongo kuwa R&B halisi miaka ya 2003 & 2004 vilitoka vibao viwili vilivyosumbua sana cha kwanza Z. Anto ni Binti Kiziwi, cha pili ni Latifa kutoka kwa MB Dog
Z. Anto
--binti kiziwi
--mpenzi jini
-kisiwa cha malavi Davi
MB Dog
_latifa
_mapenzi kitu gani
_si uliniambia
Unadhani nani alitisha zaidi
Z. Anto
--binti kiziwi
--mpenzi jini
-kisiwa cha malavi Davi
MB Dog
_latifa
_mapenzi kitu gani
_si uliniambia
Unadhani nani alitisha zaidi